Ndo utaratibu dunia nzima huo.. kwani yeye ndo anakuchumbia mpaka aje kwenu wakwanza...
Mwanaume ndo anatakiwa aende kwa binti kwanza..
Kama mmachame aandike maumivuNi kutoka Machame?
Usijechagua mmachame huyo achana naye kabisaaaaaaa
Sent from Tanzania
atamuRIP soon
MKUU kama kweli unajipenda na future ya ndoa yako.Tafakari Mara 100 uamuzi wako wa kutaka kuoa Mchaga. Wanawake wa kichaga ni HATARIIIIIIIIII. Jamaa zangu wengi kama 10 hivi walio oa hao wachaga ndoa zimevunjika. Wanawake hao wakichaga wanasubiri kuona Kipato chako kimekua vya kutosha then UTATA na VISA vinaanza ndani ya nyumba. Na usipo kaa vizuri utaishia kufunikwa na ule udongo wa TANI 7. KAZI KWAKO.