Mke wa mtu sumu

Mke wa mtu sumu

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Kwa huyu jamani mbona kwangu amekuwa hivi. I realy fall in love kwa mke wa mtu huyu.
Akiongea na mimi, akiniangalia, akitabasamu, akicheka, tukishake hand, akinishauri, tukipiga stori, akinisaidia vijikazi. Mpaka wadadisi wa mambo wanaisi labda tayari. Kumbe walaaa, naumia tu moyoni.
Akimuona mtu wangu kaja dhairi shari bila kificho mke wa mtu anaumia kweli. Bashasha yake inamtoka kabisa usoni na ufikia hata kushinda ndani kwake kutwa nzima.
Tatizo langu kwake yeye ni mke wa mtu tu.
Jamani mke wa mpangaji mwenzangu ananitatiza. Nini nisicho kiona cha kwake.
 
Unajua nina mtazamo flani juu ya nyumba ambazo mnashare utilities. Labda huwa ni kikwazo?

Anyways...angalia usije ukamtamani na mumewe.
 
PADRI.jpg

PADRI3.jpg

ANGALIA HIZO PICHA VIZURI ALAFU NENDA KAMGONGE MKE WA MTU NDIO UTATOA MIJICHO MARA TATU YA HUYO HAPO
 
teh teh teh teh chezea kwenda kuoga kifua wazi, mama anapika na khanga moja anakuomba akusaidie kuosha vyombo mara akipika chakula anakuletea tena usikute ukishinda nyumbani anakuwekea taaarab teh teh
tena mke wa mtu w a mtaa mmoja,nyumba moja teh teh tena inawezzekana vyumba vinafatana nzuri zaidi hujala mzigo watu wameshtuka
je ukiula/?
akija wifi yetu ananuna teh teh siku ukimla mzigo sijui itakuwaje
 
::
mmm Nasubiri part two yatakayokufika
=
 
Back
Top Bottom