Kila mwanaume 18 and above
98% ni mwanaume wa mtu! Kama sio Mume halali wa mtu basi ni buzi halali
la mtu, ama Boyfriend halali wa mtu!
HAKUNA MWANAUME WAKO PEKE YAKO!!!!!!!!!!
Ukikaa unasuburi umpate wako peke yako utazeekea nyumbani! suluhisho
moja tu!
MWENYE KISU KIKALI NDO ANAEKULA NYAMA, NA ASIE NA KISU NA ASHUHUDIE
NYAMA IKILIWA NA WENZIE!!!!!!!!!!
Nimegundua kwa ushahidi ulio wazi kabisa asilimia 90 ya mabinti chini ya miaka 23 wanapendelea wapenzi ambao ni waume za watu nimejaribu kujiuliza nikwanini nimekosa jibu la moja kwa moja nikaona niwashirikishe wenye ujuzi na hili