Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by AshaDii, May 13, 2011.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Akina dada na kina mama, mloolewa ama kutoolewa naamini na kutumaini kuwa ukisoma hii thread inaweza kukusaidia (si lazima) wewe kuweza muelewa Mama mkwe wako vizuri.

  Naomba basi tukumbuke na kuchukua busara zetu za ziada kuwa ni mzaa chema na kuwa na wewe ni mwanamke yatakufikia tu mwanao atapokua mkubwa kiasi cha kuoa.. Hivyo jua she is threatened by you basi kikubwa wewe hapa ni kumvumilia (mradi asivuke mpaka) mana mnaposhindana/hitirafiana mara kwa mara unamuumiza pia hubby

  Sababu zinazofanya most Mama mkwe kukuchukia/kutokupenda/kutokukubali;

  1. Yeye ndie mama wa mumeo, kamfahamu mumeo toka hajakabidhiwa kwake na babake akiwa hana uhai wowote mpaka hapo ulipomkuta akiwa tayari ana miaka zaidi ya 27 (maybe) and onwards hivyo katika mawazo yake huyu mama ni Who does she think she is thinking kwamba anaweza mteka mwanangu kirahisi rahisi
  2. Mara nyingi most watoto wa kiume hupendwa saaana na mama zao.. huo upendo huwajenga karibu sana na most guys hua wanaenda hata confide mambo yao kwa mama zao because at that time she is the most prominent woman in his life.. Na kama tuelewavyo mapenzi kitu kingine once akipata mwanamke kampenda na kumuoa automatically mambo yanabadirika na hata ajitahidi namna gani huyo kijana lazima mama ataona tu utofauti; Basi huona wewe binti umenyang'anya privilege yake.
  3. Akina mama wengi hasa wenye tabia za ovyo ovyo hufanya mambo mengi kwa waume zao.. atamlisha kila uchafu, atamuendea kwa kila mganga, sometimes humuendesha mumewe kama gari bovu, wengine hutumia njia zozote zile mumewe kutokua na nduguze hata wazazi; Basi pale mtoto wake wa kiume anapopata mke ndo ana realize kua mtoto wake yawezekana atafanywa na kuchezewa vibaya kama babake alivyomfanyia(Mkuki kwa nguruwe). Hii indo huwachanganya kabisa
  4. La mwisho (but not limited) na muhimu ukweli ni kwamba wewe ni mwanamke. After all; all women tend to hate each other especially if they have the attention of the same man; wote wawili (mke na mama) wanataka kuonesha kwamba wao ni bora zaidi kwa hio mwanaume wakisahau kua kati yao hakuna mshindi, maana wote wana umuhimu na nafasi tofauti kwa huyo mwanaume

  JF Members Please comment


   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,578
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  asante sana Asha D kuna Article moja nimeiona kuhusu mama mkwe vere useful ,sijui iko mitaa gani nikiipata nitawasilisha
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Tafadhali mpenzi, tuongeze maujuzi ya ku handle wakwe....
   
 4. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ah ah ah umenichekesha sana kuna story moja tulipewa kanisani"Kuna dada mmoja aliolewa na akawa anaishi na mama mkwe wake,yani walikuwa hawaelewani hata kidogo,kila siku mume anaamua kesi kati ya mkewe na mama yake,kiukweli jamaa huyu alichoka na kesi so nyumba nzima ikawa ni mchuno tu,Mke nae akaona mama mkwe anaharibu ndoa yake,basi akapitiwa na shetani hao wakaenda kwa mganga,"Mganga nakaa na mama mkwe wangu kwakweli nimemchoka,anaharibu ndoa yangu sina amani nae kabisa naomba umuuwe.,"Mganga akaampa dawa,"hii weka kwenye chakula kila siku na baada ya miezi 3 mama mkwe wako atakufa lkn ili kuonyesha kwamba ww Uhuusiki na kifo hicho anza kumuheshimu mama mkwe wako,msikilize na kuomba msamaha pale unapokosea,mfulie nguo na kumwandalia chakula sawa eeeh?,"sawa"Mdada huyo akaenda nyumbani akabadilika,akawa msikivu kwa mume na mama mkwe wake,kila siku anamwandalia chakula na kumwekea ile dawa,maisha kwa ujumla yakabadilika akawa anapendana sana na mkwewe,mwisho wa siku akaona dawa inakaribia kuisha that means mama mkwe atakufa na wakati wanapendana sana,akaenda kwa mganga"mganga naomba usimuue tena mama mkwe wangu maana tunapendana sana yani plz nakuomba fanya kila njia plz"mganga akamjibu usijali ile dawa niliyokupa ni ya vitamin tu hawezi kufa nenda kwa amani".
  Hadithi hii inatufundisha tuwe tunaona makosa yetu kwanza na mapungufu yetu na tujaribu kujirekebisha sisi kwanza,ndio wenzetu nao waone mafanikio yetu na kuiga kupitia kwetu,Thx for useful post Asha D.
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  LOL...LOL...LOL... Almost nivunjike mbavu... Najaribu imagine na the imagination is so funny...

  Haya mambo yapo katika jamii yetu sasa afadhali alipata maganga mstaarabu, but in reality inatisha.... Mabinti wengi wanaoolewa wanakosea padogo tu... Yaani yule mama ukijishusha hata akutafute vipi iko siku mtapatana tu! BUT bahati mbaya wengi huenda katika ndoa wakijipanga kabisa "anajifanya kua karibu na mamake? mi nikiingia yule mama hana lake!"

  Akina dada tunajisahau sana tuangalie sana hili suala... Pearl nimeipenda mno...lol
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nimecheka sana hata chakula nilichokuwa nakula nimeshindwa kukimaliza
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mama Mkwe naona you are worth kabisa
   
 8. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,263
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  "WHAT MAKES AMAZING STORIES EVEN AMAZING"
  Unamaana MAFAHALI wawili wanaweza kuishi zizi moja endapo wafundishwa kuheshimiana siyo?
   
 9. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #9
  May 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  zile chips eeeeeeh?pole sana
   
 10. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #10
  May 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Thanks a lot 4 this useful post nimejifunza coz mi cjaolewa lakn kila cku nasema nikiolewa akileta mambo ya ajabu atanijua kumbe haina maana na ubabe co deal hata kidogo,nimejifunza,b blessed Asha D.
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  May 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Exactly....
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  May 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Itabidi ujitolee kuninunulia kingine
   
 13. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #13
  May 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kila kitu kinawezekana katika dunia hii ni kiasi tu cha kukubaliana na ukweli,kujishusha,kuheshimu watu wote,na kuwa mfano remember IT BIGGINS WITH U
   
 14. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #14
  May 13, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  A NICE ONE !!

  A long time ago in China , a girl named Li-Li got married & went to live with her husband and mother-in-law.

  In a very short time, Li-Li found that she couldn't get along with her mother-in-law at all. Their personalities were very different, and Li-Li was angered by many of her mother-in-law's habits. In addition, she criticized Li-Li constantly.

  Days passed, and weeks passed. Li-Li and her mother-in-law never stopped arguing and fighting. But what made the situation even worse was that, according to ancient Chinese tradition, Li-Li had to bow to her mother-in-law and obey her every wish. Al l the anger and unhappiness in the house was causing Li-Li's poor husband great distress.

  Finally, Li-Li could not stand her mother-in-law's bad temper and dictatorship any longer, and she decided to do something about it. Li-Li went to see her father's good friend, Mr. Huang, who sold herbs. She told him the situation and asked if he would give her some poison so that she could solve the problem once and for all.

  Mr. Huang thought for awhile, and finally said, "Li-iL, I will help you solve your problem, but you must listen to me and obey what I tell you."

  Li-Li said,"Yes, Mr. Huang, I will do whatever you tell me to do. "Mr. Huang went into the back room, and returned in a few minutes with a package of herbs. He told Li-Li, "You can't use a quick-acting poison to get rid of your mother-in-law, because that would cause people to become suspicious. Therefore, I have given you a number of herbs that will slowly build up poison in her body. Every other day prepare some delicious meal and put a little of these herbs in her serving. Now, in order to make sure that nobody suspect you, when she dies, you must be very careful to act very friendly towards her. "Don't argue with her, obey her every wish, and treat her like a queen." Li-Li was so happy. She thanked Mr. Huang and hurried home to start her plot of murdering her mother-in-law.

  Weeks went by, and months went by, and every other day, Li-Li served the specially treated food to her mother-in-law. She remembered what Mr. Huang had said about avoiding suspicion, so she controlled her temper, obeyed her mother-in-law, and treated her like her own mother.

  After six months had passed, the whole household had changed. Li-Li had practiced controlling her temper so much that she found that she almost never got mad or upset. She hadn't had an argument with her mother-in-law in six months because she now seemed much kinder and easier to get along with.

  The mother-in-law's attitude toward Li-Li changed, and she began to love Li-Li like her own daughter. She kept telling friends and relatives that Li-Li was the best daughter-in-law one could ever find. Li-Li and her mother-in-law were now treating each other like a real mother and daughter. Li-Li's husband was very happy to see what was happening.

  One day, Li-Li came to see Mr. Huang and asked for his help again She said, "Dear Mr. Huang, please help me to keep off the poison from killing my mother-in-law. She's changed into such a nice woman, and I love her like my own mother. I do not want her to die because of the poison I gave her."

  Mr. Huang smiled and nodded his head. "Li-Li, there's nothing to worry about. I never gave you any poison. The herbs I gave you were vitamins to improve her health. The only poison was in your mind and your attitude toward her, but that has been all washed away by the love which you gave to her."

  HAVE YOU REALIZED that how you treat others is exactly how they will treat you? There is a wise Chinese saying: "The person who loves others will also be loved in return." God might be trying to work in another person's life through you.
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  May 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Asha D nimekumbuka siku kaka yangu anaoa bibi yangu alitoa machozi sana sikuelewa kwanini lakini nikajakugundua simply because my bro anafanana sana na my late dad basi bibi kila akimuangalia kaka yangu akawa anamkumbuka mtoto wake siku alipokuja kututembelea kaka yangu ikifika saa mbili bibi hajamuona nyumbani mimi na shemeji yangu tutaulizwa maswali 100 kadhaa.
   
 16. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #16
  May 13, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Mimi nina bahati sina mawifi nina mama mkwe tu maana nasikia mawifi nao ni issue sometimes. Mama mkwe wangu nampenda na so far hatujawahi kugombana. Labda kwa kuwa yuko mbali na si wa kijijini kwa hiyo ni muelewa. Pili huwa sijajaribu hata siku moja kuwa kiwingu kati yake na mwanae kwani mume wangu ni last born. Akiniomba kitu basi niko tayari kukopa kama sina ela nimpatie. Sometimes huwa nawaza am I caring too much than the way am treating my own mother? Well ukipenda boga lazima upende na ua lake!

  Na kwa kumtreat mama mkwe wangu vizuri nadhani kunamfanya mume wangu anipende sana na kutonificha chochote kuhusu familia yao hata wanachoongea na mama yake on my absence. Hata mashemeji zangu wananipenda pia.

  Hakuna atakaye kupenda ukimchukia mzazi wake!
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  May 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Nitafurahi dear ukizingatia maana ni muhimu mpenzi... Ya nini kushindana na mzaa chema hali wewe unafaidi kuliko yeye?? All the best na I hope uje pata Mama Mkwe who is worth it...
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  May 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Thank dear... Alafu mumegongana mpenzi hio story Pearl katupatia... Nashukur sana dear.. enjoy...
   
 19. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #19
  May 13, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mama wakwe,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, kama najiona nitakapokuja kuwa mama mkwe!!!! kila ninaposali sisahau kumwomba Mungu anijalie kujua kuwa hivi vidume vyangu kuna siku vitakuja kuwa na WAREMBO wa kujua watakula nini, watalala wapi na kila kitu.............. enzi hizo mimi itabidi nijikite zaidi kuangalia MZEE wangu anafurahia vipi maisha ya uzee
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  May 13, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Some in-laws can really be a pain in the ass. But in the bigger picture it is healthy to get along with them.
   
Loading...