Jamani samahani sana kwa watakaokereka na mada hii lakini kwa kifupi ni kwamba tupo kwenye jukwaa hili kwa ajili ya kukumbushana na kusahihishana na hatimaye tulisongeshe gurudumu lamaisha katika...
Sijawahi ona watu wanafiki kimapenzi Kama Hawa duh .au nyie mnaonaje ?e.g Ted haggard (yaani bonge la homo na alitumia meth akiwa Mbele ya kanisa oh homosexual is a sin or Mpende mkeo he...
Habari zenu waungwana,natumaini kuwa wote mu wazima!
Hivi ni kweli kuwa haiwezekani kutulia na mwenza mmoja ktk maisha?
Kuchepuka ni tamaa tu za mwili,ambazo haziishi,ila mtu akijifunza kuwa na...
Wadau kama nilivyoeleza mke wangu hapendi tendo la ndoa mimi nimepata solution fulani ya kufanya masterbation nijiridhishe ili ninapokutana nay basi namalizia tu nakuwa nimetosheka kiasi fulani
Habari wana JF
Mimi ni mwanamke, natafuta mchumba. Awe na miaka kuanzia 36 na kuendelea. Dini awe mkristu na mcha Mungu, Awe hajawahi kuoa wala asiwe na watoto. Elimu chuo kikuu. Awe serious na...
Wanaume hatimaye kutambua kwamba hawapo peke yao kitandani na kwamba kumridhisha mwanamke ni muhimu katika kudumisha uhusiano wa kimapenzi! Kuchukua hii kutoka kwangu nawaambieni, uhaya mambo...
Rafiki yangu ana mchumba wake ambaye ana asili ya kiarabu;ametangaza nia ya kumuoa LAKINI ANAKOSA SAPOTI ya ndugu na jamaa wengine....KWANI KUNA TATIZO lolote kwa mahusiano ya aina hii???
Najua hili swala sio la MMU ila huku ndio kwenye watu wengi, naombeni msaada, ni hivi wazazi wangu waliachana mwaka 2002 ambapo mama alikuwa uk, akaja kutuchukua mie na mdogo wangu wakati huo...
Kuna rafiki wakike nimekuwa naye kwa miezi mi 4 sasa ilasijawahi kuwa na mahusano naye ya kimapenzi na wala katika maongezi yetu hatujawahi kuulizana mambo ya mapenzi, ila ishara saa nyingine...
Habari zenu waungwana!
Hebu wenye ujuzi watupie maujanja hapa,ipi ni namna bora ya kulana denda,nini hasa cha kuzingatia wakati wa kudendeka ili kupata matokeo mazuri zaidi...je ni ulimi,au...
Habari za Asubuhi wadau wa MMU!
Kutokana na maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano (teknohama) pamoja na utandawazi, inazidi kuwa rahisi sana kukutana na mtu wa aina yeyote yule unaemhitaji. Kwa...
hallo wadau natafuta chumba mwenye umri miaka 20 mpaka 28 mchamungu mwenye hofu na mungu sala 5 anajiheshumu asiyekuwa na makuu mwembamaba kiasi mrefu umbo zuri la kuvutia kifua kidogo yani maziwa...
Mara nyingi nimekuwa nikikutana na wanawake walio katika ndoa ambao hujuta sana na kusema kwamba wanajuta kuolewa na laiti wangejua kwamba maisha ya ndoa yako namna hiyo, katu wasingeolewa na...
helooo waungwana wapendwa wangu
Natumaini hamjambo na mnaendelea vyema na shughuli, kazi, biashara, masomo na pia
mambo mbalimbali ya maisha kiujumla na wengine sasa mnajiandaa kwa mitoko ya...
Watu hao juu mara nyingi wakiishi pamoja au hata mbali ni vigumu kuwakuta wanaelewana tatizo ni nini? na kipi kifanyike ili kuleta maelewano miongoni maana katika familia imekuwa to much.
Haya mambo bwana nlikuwa naskiaga tu kwa watu sasa nayashuhudia live nacheka sana alafu namkumbuka Nicas Mtei mimi nashangaa mbona mama mzaa chema halalii mimi nauchapa nkisikia mume wangu kaja...
Wewe ni mwanaume;
Ni mara yako ya kwanza kukutana na mwanadada; unaanza kujenga ukaribu naye na mda unavyoenda unaona anaelekea kuwa nawe kimaongezi na kimawazo zaidi. Siku zinapita, unamvutia...
NDOA inaweza kufananishwa na safari ndefu yenye matukio yasiyotazamiwa, mengine yenye kupendeza na mengine yenye kuumiza. Hali zisizotazamiwa zinaweza kutokeza vizuizi visivyotarajiwa, vingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.