nimpotezee au NIPIGE?

nimpotezee au NIPIGE?

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
WAKUU leo imenibidi niingie chumba hiki kutafta msaada wa kmawazo . Mzigo wenyewe ni ivi kuna demu mmoja hapa kitaa nimetkea kumpenda ile mbaya nikaamua kumtupia nyavu
Nashkuru mola amenasa na moyo wangu ukaridhia awe wangu wa maisha ila inshu ni kuwa wakali washamchakachua na ana mtoto wa miaka 5.
Mnanishauri vpi wana jf niachane nae au nipige den nisepe
 
Vijana wetu wanaangamia kwa kukosa maarifa na wataangamia kweli kweli,hivi matokea ya form six tayari nayo tusikie
 
Muuni sio lazima uvae suruali chini ya makalio!

Inamaana mlivyotongozana hukujua kama anamtoto? Kama utaamua kusitisha mahusiano fanya hivyo kwa wema na sio kwa kumgegeda na kumbwaga kama unavyofikiria.
 
WAKUU leo imenibidi niingie chumba hiki kutafta msaada wa kmawazo . Mzigo wenyewe ni ivi kuna demu mmoja hapa kitaa nimetkea kumpenda ile mbaya nikaamua kumtupia nyavu
Nashkuru mola amenasa na moyo wangu ukaridhia awe wangu wa maisha ila inshu ni kuwa wakali washamchakachua na ana mtoto wa miaka 5.
Mnanishauri vpi wana jf niachane nae au nipige den nisepe

Salamayako mwanangu:
Ushauri mmoja tu, Ndugu Nikhil ukitaka riziki na familya kubwa lenye ongezeko la furaha ? Bora muowe huyu
m'mke uliyo mtega na wavu. hapo panaonekana kuna heri na mustahabli mwema.
Tafadhali usichambuwe aibu zake. Go ahead uishi maisha ya "kifalme:: "

lakini usinisahau walau kiduchu.
 
Sgjh*#€< zako! Mnatuharibia jamvi vijana wa form 4, rudini fb hapo sio size yenu
 
daah inauma lakini@ salamaleko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom