Tetra
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 1,526
- 771
::
Hiyo ni kauli ya rafiki yetu ambae ameoa hivi karibuni.
Hakuniambia mimi tu bali wengi ambao tupo nje ya taasisi hii tukufu ya ndoa.Ni kama ametutenga Mi kabla ya kulaumu nilitaka wa Jf mnisaidie
::
Je mlio ktk ndoa na ambao mmewahi kusikia kauli hii,,ni nini maana yake?
Je,,kuna yapi tusiyopaswa kujua?
Tusaidiane
=