Jamani nakuja tena kuwaatarifu ile Get Together Party itafanyika tarehe 23/06/2013 pale ukumbi wa PRINCESS karibu na DOUBLE VIEW HOTEL kwa wanaopanda daladala shukia kituo cha SINZA MAPAMBANO na...
kwanza nina miaka 25 im black si mfupi wala mrefu,mkristo nina elimu ya chuo kikuu
naitaji msichana ambaye yupo tayari kuwa na mimi
muhimu awe na tabia njema na muwazi.... Pm me
ndugu zangu sikujua mapenzi ni mchezo hatari kiasi hiki'nimegombana na mke wangu ni mwezi wa pili sasa''tulipogombana alirudi akitaka tuongee lakini bado nilikuwa na hasira naye na nilikataa...
JUMAPILI, JUNI 16, 2013 05:50 NA
MERINA ROBERT, MOROGORO
HALMASHAURI ya Manispaa ya
Morogoro inakabiliwa na
changamoto ya kukua kwa
maambukizi ya Ukimwi, baada ya
kushamiri kwa biashara ya mapenzi...
hauwezi kumdhania.Hata siku moja,ni one of the MD's in town running his own business.Well off and Smart.
Bright married and a father of [...kapuni..] childrens.
How did i came to prove this.He's...
kama kuna mdada mwenye upendo wa dhati ila kaumizwa na gumegume ondoa shaka naweza kukupa true love mpaka ndoa endapo tutakubaliana call me 0768964697 usibip,sms zitajibiwa
daa!kiukweli mwenyew namkubali sana huy dogo kwa mambo yak ya kitandan anayawez,utata alipoend tu chuo alimpat inservise wa kumgharamia mahitaj madogomadog na alinambia kuw ana mtu lakin ananipend...
Wanajamvi salam kwenu! Nina umri wa miaka 30. Ninaelimu ya chuo kikuu pia ni mwajiriwa serikalini, najitokeza ktk ukumbi huu kutangaza nia ya kutafuta mke na awe na sifa zifuatazo: Awe na elimu...
Yamemkuta best yangu ameolewa hajui kupika.ilikuwa kama ka mchezo fulani ivi kila mume akirudi kazini anakuta chakula mezani bila kujua kinatoka wapi,mana hajawahi kumkuta mkewe akipika.
kumbe...
"Nilikuwa na Mpenzi, tukabahatika kupata mtoto wa kiume,anakaribia umri wa miaka mitatu mwezi ujao, Kwa muda mrefu nimekuwa nikimwomba mzazi mwenzangu anipe mtoto akakae na wazazi wangu na...
Hehehe nimeitoa huko kwenye blog ya wake za wazungu......lakini kweli huku kwetu uswazi kweli ni kawaida kuwa na mume with 10+ age gap. Wengi wao wanakuwa machumaji.....
Salam wataalamu wote wa Kike na Kiume na wale wasioleweka,
Jaman inasikitisha, mtu unaenda kumsalimu wandani wako.. saa tatu ya usiku anagonga jirani , jamani naomba kiberiti, baada ya saa 1...
Wanasema yalianza na adamu na hawa au eva ina maana hata wao waliumizana,na walikua wawili au yaliletwa tujaze dunia na siyo kuyafurahia me sielewi maana imekua fujo uongo na kumizana au wenzangu...
Wanajf habari zenu!! Brothers wangu watatu wana watoto wasiopishana sana kiumri,yaani kama miaka 5,miaka 4 na mwingine miaka 3. Hawa watoto wote wananyonya vidole. Mwanzoni mwa huu mwezi wameletwa...
Mambo vipi WADAU,poleni kwa uchovu wa wkend,
Nimeona niwatumie hiyo PDF File ya kitabu,Unakaribishwa na maoni yako na uzoefu wako pia.....
Nimekuwa nikiona mada mbalimbali zinazohusu sehemu...
Nimefahamiana na dada mmoja,
Kila siku akawa ananitumia ujumbe mfupi kwenye simu yangu, i miss u, nikadhani kawaida. Baadaye akanitafuta facebook, Jambo moja alilogundua bila hata kuniuliza, nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.