Jamani ombi langu liko palepale!


makusafrank

makusafrank

Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
27
Likes
0
Points
0
makusafrank

makusafrank

Member
Joined Dec 6, 2012
27 0 0
mwenzenu natafuta mwanaume wa kufunga naye pingu za maisha umri usiochini ya miaka45. niko seriously
 
I

IKWETE

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
4,066
Likes
78
Points
145
Age
45
I

IKWETE

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
4,066 78 145
Daah umri mkubwa sana sasiimebaki miaka 7 ya kuishi mtz sianashi 52 years au.
 
P

pitamozes

Member
Joined
Jun 10, 2013
Messages
28
Likes
0
Points
0
Age
28
P

pitamozes

Member
Joined Jun 10, 2013
28 0 0
Mama, mshirikishe na Mungu, pengine muda bado haujafika! nipo tayari bt cjameet vigezo!
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,334
Likes
40,094
Points
280
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,334 40,094 280
Teh! sema unatafuta babu wa kumalizia nae maisha.....
 
makusafrank

makusafrank

Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
27
Likes
0
Points
0
makusafrank

makusafrank

Member
Joined Dec 6, 2012
27 0 0
asanteni kwa majibu yenu. Ila ushauri wangu nikwamba kama hujisikii kumsaidia mtu usijibu majibu ya dharau kumbuka mtenda hutendewa. nice day
 

Forum statistics

Threads 1,272,646
Members 490,095
Posts 30,455,941