Get together party 4 singles,23 june 2013, princess hall (sinza mapambano)

connections

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
1,736
2,297
Jamani nakuja tena kuwaatarifu ile Get Together Party itafanyika tarehe 23/06/2013 pale ukumbi wa PRINCESS karibu na DOUBLE VIEW HOTEL kwa wanaopanda daladala shukia kituo cha SINZA MAPAMBANO na utakutana na Mhudumu wetu atakayekuwa ameshika Bango atakayekuelekeza ukumbi ulipo. KIINGILIO ni 3,000/= utalipia getini, shughuli inaanza saa 8 mchana-12 jioni. Kwa maelezo Zaidi piga simu namba 0717663005
NB: Wanaoruhusiwa ni wenye umri wa 18 na kuendelea.
 
Back
Top Bottom