nimegombana na Mke wangu'ameniacha

nimegombana na Mke wangu'ameniacha

Delegate

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
331
Reaction score
203
ndugu zangu sikujua mapenzi ni mchezo hatari kiasi hiki'nimegombana na mke wangu ni mwezi wa pili sasa''tulipogombana alirudi akitaka tuongee lakini bado nilikuwa na hasira naye na nilikataa kuongea naye'hasira zangu zilipoisha niliamua turudiane lakni amekataa na amesema hanitaki tena'kwa kweli nimechanganyikiwa sijui nifanye nini ili turudiane'mimi ni mkristo sijawahi kwenda kwa waganga lakini nasikia kuna dawa unaweza kumrudisha mpenzi aliyepotea?je nitakuwa natenda dhambi nikitumia nguvu za uganga kumrudisha?naomba msaada
 
Mtegemee Mungu ongea nae au shirikisha wazazi
 
Oh my god ondoa hizo imani potofu kakaangu!Hakuna kitu kama hicho eti nguvu za uganga zitamrudisha!Muoneshe jinsi gani unavyomuhitaji na thamani yake kwako!Nina uhakika lazima una nafasi katika moyo wake japo mna migongano kwa miezi miwili!Ndio maana tunashauriwa tusichukue uamuzi tukiwa na hasira!Atakusamehe tu kuwa na subira na vilevile jaribu kuwahusisha watu wenu wa karibu marafiki au wazazi waongee nae!
 
Kati ya dhambi mbaya ni kwenda kwa mganga,kamwe usijaribu,kama mlifunga ndoa waone viongoz wa kanisa,washenga au wazazi yote hayo yakishindikana basi kuwa na amani kwani maisha ni zaidi ya ndoa,uzima ni zaidi ya ndoa hata Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa..
 
Mkuu hivi bado upo katika ile dunia ya kusumbuliwa na mwanamke?... huo ulimwengu ulishapita...
 
Oh my god ondoa hizo imani potofu kakaangu!Hakuna kitu kama hicho eti nguvu za uganga zitamrudisha!Muoneshe jinsi gani unavyomuhitaji na thamani yake kwako!Nina uhakika lazima una nafasi katika moyo wake japo mna migongano kwa miezi miwili!Ndio maana tunashauriwa tusichukue uamuzi tukiwa na hasira!Atakusamehe tu kuwa na subira na vilevile jaribu kuwahusisha watu wenu wa karibu marafiki au wazazi waongee nae!

Asante dada'kwa kweli hili linanitesa sana na limeniathiri sana'natamani anirudie na sitakaa nimuudhi tena
 
Uganga wa mapenz ni hisia na maneno.kikubwa nikusoma psychology yake.mtumie wazee au rafk zake waongee nae
 
ndugu zangu sikujua mapenzi ni mchezo hatari kiasi hiki'nimegombana na mke wangu ni mwezi wa pili sasa''tulipogombana alirudi akitaka tuongee lakini bado nilikuwa na hasira naye na nilikataa kuongea naye'hasira zangu zilipoisha niliamua turudiane lakni amekataa na amesema hanitaki tena'kwa kweli nimechanganyikiwa sijui nifanye nini ili turudiane'mimi ni mkristo sijawahi kwenda kwa waganga lakini nasikia kuna dawa unaweza kumrudisha mpenzi aliyepotea?je nitakuwa natenda dhambi nikitumia nguvu za uganga kumrudisha?naomba msaada

wewe ulikuwa wakuachwa mkuu..
 
Asante dada'kwa kweli hili linanitesa sana na limeniathiri sana'natamani anirudie na sitakaa nimuudhi tena
Navyo kuona sijui...
Angalizo usijekunywa sumu hata Mbingu itakutapika..,maisha marahisi huhitaji kuendeshwa na mwili kwani roho ni zaidi ya mwili...
 
mbembeleze mpe maneno mazuri na zawadi ndogondogo kama kadi kanga nguo nk
 
Oh my god ondoa hizo imani potofu kakaangu!Hakuna kitu kama hicho eti nguvu za uganga zitamrudisha!Muoneshe jinsi gani unavyomuhitaji na thamani yake kwako!Nina uhakika lazima una nafasi katika moyo wake japo mna migongano kwa miezi miwili!Ndio maana tunashauriwa tusichukue uamuzi tukiwa na hasira!Atakusamehe tu kuwa na subira na vilevile jaribu kuwahusisha watu wenu wa karibu marafiki au wazazi waongee nae!

hapo nilipoweka nyekundu unauakika?

kinachozuia kukuingia dawa hizi ni kuwa wa Mungu tu.
 
Uwongo mtupu,unatupiwa mijini inakushika akili uku ikitekeleza mahitaji yake,zikirudi lazima azingue,ni sawa na undondocha na kwa hili utajibu kwa Mungu.
 
Unataka kwenda kwa Sangoma kupata suluhu, kwani ndoa yenu mliifunga kwa mganga wa kienyeji?
 
hahaahahs,ulivomringia na yeye kaona akuchemshe,atarudi tu haina haja ya kwenda kwa mzee wa busara
 
Umetikisa kiberiti kumbe kimejaa. Tafuta timing kwingine na uache kubip. Unamkasirikia mkeo 2 months!
 
ndugu zangu sikujua mapenzi ni mchezo hatari kiasi hiki'nimegombana na mke wangu ni mwezi wa pili sasa''tulipogombana alirudi akitaka tuongee lakini bado nilikuwa na hasira naye na nilikataa kuongea naye'hasira zangu zilipoisha niliamua turudiane lakni amekataa na amesema hanitaki tena'kwa kweli nimechanganyikiwa sijui nifanye nini ili turudiane'mimi ni mkristo sijawahi kwenda kwa waganga lakini nasikia kuna dawa unaweza kumrudisha mpenzi aliyepotea?je nitakuwa natenda dhambi nikitumia nguvu za uganga kumrudisha?naomba msaada

mkuu usiforce mapenzi kama yapo yapo tu ,kwani ukiyalazimisha ndiyo mwanzo wa migogoro na manyanyaso kwa ujumla.

kwanza hilo kosa lake ni nini mpaka inapita miezi yote hiyo haujakubali kumsamehe?
 
Back
Top Bottom