Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile. Wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli? Na akichepuka...
38 Reactions
961 Replies
156K Views
Jamani, asiwaambie mtu, kulea watoto wa kike ni kazi kubwa sana. Ni wito unaohitaji nguvu kubwa na akili nyingi. Nimejaribu kuchek na baadhi ya marafiki na majamaa, nimeona wengi kati yao...
7 Reactions
109 Replies
11K Views
Habari za jumapili wana JF leo tarehe 17 June 2012 nafunga ndoa na mpenzi wangu ambaye tumekuwa na mahusiano since 2007 tukiwa chuoni. Ndoa itafungwa katika kanisa la SDA Njiro wote mnakaribishwa...
9 Reactions
58 Replies
5K Views
Umepata mapenzi kwa kuwa umejiwekea ka status mjini unaona aibu kumpeleka kwenu kutokana na hali halisi . Hii ni kukosa confidence ya maisha, utoto au ni utaahira?
11 Reactions
121 Replies
9K Views
Wakuu nina g.f wangu tumedumu kwa mwaka sasa,ambaye tupo mikoa tofauti na tunapendana sana.Jana asubuhi nlijaribu kumtext kwa namba nyingine ili nione kam nko peke angu au vp.Nikamwambia mamb ma...
0 Reactions
170 Replies
20K Views
Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada. Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Naamini Mungu analea... Wote tu wazima, Wakuu huu uzi ni maalum kwa tuliozijua papuchi na midete kuanzia primary school mpaka sasa hapa...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Ni katika kukumbushana, wala hakuna ugomvi. Kina Dada mliozaliwa miaka ya 80 utawala wenu umeisha muda wake, sasa ni zamu ya madogo waliozaliwa miaka ya 90. Kama umezaliwa miaka ya 80 na bado...
59 Reactions
353 Replies
31K Views
Natumai hamjambo wajumbe wa MMU Wakuu nimekua nikishangazwa sana na hii tabia ya vijana wa mtaa walioishia form 4 na darasa la 7B, hawa vijana wakibahatika kudate na wadada wa chuo wanajisifia na...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Natafuta mwanamke aliye serious kuolewa mwaka huu Niko na miaka 30 Mkristo Aliye tayari tuwasiliane
3 Reactions
9 Replies
752 Views
Habari wana JamiiForums Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Mi nakwambia ukweli kabisa Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao... Ipo siku yako nakwambia! Mtoto wa...
45 Reactions
115 Replies
5K Views
Ki ukweli, kwangu mimi hakuna kitu kibaya kwa dada menye ngozi ya kiafrica akajichubua.... Najua Mtanichukia, na kunitukana ILA MUNGU ANAWAONA.... ACHENI KUJIHARIBU SURA
2 Reactions
124 Replies
14K Views
1. Most boyfriends will leave if sex is taken out of the relationship. (Wapenzi wengi wa kiume wataondoka ikiwa mahusiano hayatakuwa na mapenzi/ngono) 2. Most girlfriends will leave if money is...
2 Reactions
11 Replies
539 Views
Hakika karne hii wanaume tumekuwa deal tena deal kubwa zaidi yatafutwavo madini hivyo nawaasa men wenzangu msihangaike kutafuta wanawake siku hizi wanatutafuta wenyewe tena kwa torch
4 Reactions
107 Replies
10K Views
Inasemekana kwamba siku ambayo Mpenzi / Demu / Mkeo akijua kuwa anaenda Kukusaliti / Kubanduliwa na Mwanaume / Njemba mwingine huwa anakuwa anakuchangamkia mno tena kupita kiasi au siyo kama...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana MMU, Nimefanya 'kautafiti kangu kasicho rasmi' nikagundua maneno haya kutoka kwa wanawake wakikwambia usiwaamini hata kidogo.. Karibuni mchangie mada, ukiwa na la...
23 Reactions
96 Replies
14K Views
Habari zenu wake kwa waume, Ni binti mmoja ivi ambaye tulikutana naye hapa DSM, tulikutana naye 2012, kipindi alikuwa akisoma shule ya kunduchi girls, likizo alikuwa akija kwa ndugu zake ambapo...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Sina maneno mengi Sana ILA Naombeni ushauri kwa hili, ninaishi na mke na tumebarikiwa kupata watoto wawili. Kilichofanya nije kuomba ushauri hapa Ni kuwa kwa sasa ruti za mke wangu kwenda kwao...
2 Reactions
76 Replies
6K Views
Wakuu habarini.. Naandika uzi huu nikiwa nimelala mzungu wanne na mtoto wa kike{mwanafunzi} yupo likizo kidato cha 5 toka jana..,baada ya kumgegeda of course dozi ilikua bomba, mida ya saa6...
13 Reactions
131 Replies
13K Views
Back
Top Bottom