bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,984
Sina maneno mengi Sana ILA Naombeni ushauri kwa hili, ninaishi na mke na tumebarikiwa kupata watoto wawili.
Kilichofanya nije kuomba ushauri hapa Ni kuwa kwa sasa ruti za mke wangu kwenda kwao moshi haziishi, na wakati mwingine hukaa hadi miezi miwili bila sababu ya maana.
Ana mdogo wake WA kike kamaliza form six ndo nimebaki nae hapa.
Nisipopiga Sana kelele za yeye kuja haji hadi nipige kelele ndo aje, na Kuna wakati mdogo wake huniambia Shemeji bwana kama hataki kuja mwache hadi atakapoamua mwenyewe, .
Ndugu zangu wamesema hadi wamechoka.
Tafadhali nishaurini Ni uamuzi gani nifanye kwa Mara ya mwisho maana hadi hivi navyoandika hapa yupo kwao.
Matusi sio mazuri, nahitaji ushauri