Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,895
19,069
Ni katika kukumbushana, wala hakuna ugomvi.

Kina Dada mliozaliwa miaka ya 80 utawala wenu umeisha muda wake, sasa ni zamu ya madogo waliozaliwa miaka ya 90.

Kama umezaliwa miaka ya 80 na bado unaamini unasumbua mjini utakua unajidanganya, utasumbua madingi wa ila sio vijana wa age yako, mmeishakua zilipendwa.

Mimi ni age mate wenu ila siwezi hata kuthubutu kuwatongoza, range rover ya miaka ya 80 haiwezi kulingana ubora na vits ya miaka ya 2000, mileage ya range ni kubwa sana .

Kama bado mtu alikua na hayo mawazo naomba uyaache na utundike daluga uwaachie vijana wa miaka ya 90 watawale ingawa na wao tunawapa hii term moja ya magu watatoka barabarani madogo wa 2000 wachukue hatamu.

Ingawa haya ni maoni yangu binafsi ila ndio ukweli wenyewe. Sisi wa kiume wa miaka hiyo bado tupo tupo sana.
 
Yaani wewe ni ZERO huwezi kulinganisha mtu wa 80s an 90s kwenye suala la mapenzi.

Binafsi nawapenda sana watu wa 80s na kushuka chini maana akikupa kakupa yote

Sio hivi vitoto vya 90s ukipiga 1 ya 2 kanakataa, kanasena "usinizeesge" pumbaf
 
Hahahahahah sisi tupo busy na kulea sasa hivi bwana,huko kwenye kuattract mabwana hatupo tena.Tushaolewa sasa wanetu wapo class 3.Na bado tunanyonyesha.Kila jambo na wakati wake.Nakushangaa sana kutucompare na wa miaka ya tisini.
 
Back
Top Bottom