brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,275
Kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuku vile.
Wanaume wa type hii mnatuchosha ngoja tu niwamegee siri yani unakuta dakika 10 nyingi umeshamaliza, hivi mko serious kweli?
Na akichepuka usilete lawama maana unamuacha mtoto wa watu juu juu na muwasho akunwe na nani, aisee hebu tafuteni solution ya hii kitu.
Sijui ni vyakula mnavyokula au ni uvivu wengi wenu zero kabisa.
Hahaha basi kuna watu wataguswa sana na hii kitu, you can call me names and whatever ila kaujumbe kamefika.
Jumapili njema.