Kwanini Mwanamke siku ambayo anamsaliti Mpenzi wake huwa mchangamfu na huongeza upendo Kwake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,599
2,000
Inasemekana kwamba siku ambayo Mpenzi / Demu / Mkeo akijua kuwa anaenda Kukusaliti / Kubanduliwa na Mwanaume / Njemba mwingine huwa anakuwa anakuchangamkia mno tena kupita kiasi au siyo kama kawaida yake na pia hujifanya anakupenda kuliko maelezo?

Nitashukuru nikijibiwa.

Nawasilisha.
 

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,894
2,000
kuna njia hiyo kwa mwanaume yule anayependa mambo yaishe haraka hasa ugomvi,huyu unamtengenezea mazingira uliyosema mleta mada....

ila ile mizee ya kususa unaamsha dude unamkera mpaka kooni kunakaa fundo akitaka kukutamka anatapika .. wanaume wa kususa susa hawa unatengeneza mazingira ya kususwa na kununiwa elwaaaa unachepuka vyema tu.....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom