Kama mpaka sasa umeshamzalisha mkeo watoto wawili wa kike, nenda tu kafunge uzazi!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,761
Jamani, asiwaambie mtu, kulea watoto wa kike ni kazi kubwa sana. Ni wito unaohitaji nguvu kubwa na akili nyingi.
Nimejaribu kuchek na baadhi ya marafiki na majamaa, nimeona wengi kati yao wamejaaliwa kuzaa mtoto wa kwanza wa kike na wa pili wa kike!
Kulingana na nadharia za probability of an event, chances are hata wakizaa tena kuna uwezekano wa 75% ya kupata mtoto wa tatu wa kike na only about 25% ya kupata mtoto wa kiume.
Ili kueupuka kuzeeka mapema kwa stress za malezi, fanya tu kama Obama... Fungeni kizazi mlee hao hao watoto mliokwisha wapata.
Mimi naamini watoto ni watoto na wote wana uwezo sawa tu wa kukusaidia huko uzeeni!
 
Kuna sheria ya uzazi ya kufunga kizazi.huwezi kufunga kizazi chini ya umri wa miaka 35 isipokuwa kwa sababu maalum za kiafya
 
Uache kuzaa kisa kushindwa kwako malezi?!!!
Aiii..kama ni kufunga kizazi afunge mwanaume,,,mwanamke usithubutu..utafunga kizazi 2017 ikifika 2020 anakwambia....nataman nijaribu tena tuone kama tutabahatika kupata wa kiume...mxiiew!!!

Yan kufunga kizazi labda uwe na matatzo ya kiafya ila sio fala mmoja akushauri...

Afu usitegemee kupata mtoto mwema kama wewe hukua mwema kwa wazazi wako.
 
"HIVI ITAKUWAJE SIKU UKIJA KUGUNDUA WATOTO UNAOWALEA SIO WA KWAKO ""

NA UMESHAFUNGA KIZAZI TAYALI """
 
Uache kuzaa kisa kushindwa kwako malezi?!!!
Aiii..kama ni kufunga kizazi afunge mwanaume,,,mwanamke usithubutu..utafunga kizazi 2017 ikifika 2020 anakwambia....nataman nijaribu tena tuone kama tutabahatika kupata wa kiume...mxiiew!!!

Yan kufunga kizazi labda uwe na matatzo ya kiafya ila sio fala mmoja akushauri...

Afu usitegemee kupata mtoto mwema kama wewe hukua mwema kwa wazazi wako.
Kabisaaa
 
Hivi kumbe Obama na mkewe wamefunga kizazi !????......ko ni mwendo wa kavu na kumwagilia ndani ....aisseh
 
Back
Top Bottom