Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna mwanamke kanivuruga kwenye mapenzi, nikawa sitaki mahusiano ebana mi hamu ikanibana nikanunua papuchi, heri pesa ningeporwa na vibaka nijue moja papuchi unapiga pushapu huhisi chochote halafu...
21 Reactions
157 Replies
22K Views
Wanawake kama MTU usipokuwa makini utajikuta unasingiziwa mimba za kutosha kwa mwaka mimba 6 hadi 10,ngoja ni share story fupi ya mshkaji mmoja hivi! Aliambiwa na mwanamke mmoja hivi ana mimba...
5 Reactions
38 Replies
7K Views
anaandika Madaga Kilambo Lubigisa. "mimi nina mdogo wangu ambaye nimemzidi miaka kama sita hivi. huyu mdogo wangu ni kilanga moko sana. anawacharaza wanawake kama ndo profession yake hapa...
1 Reactions
55 Replies
8K Views
Duniani ni kusaidiana wakuu,kunachangamoto ya wadada kutokuwa na wapenzi hasa wale wenye umri mkubwa(30+).Kutokana na upungufu wa Me,mi nilikuwa naona njia ya kuwasaidia ni kuingia makubaliano ya...
8 Reactions
148 Replies
9K Views
Habari, Inawezekanaje kufanya mapenzi na mtu asiye na bikra halafu unajisifia umepata kifaa? Halafu unajifanya kupendaaaa... Eti ukiachwa unapata presha, asipate presha alombikri upate wewe...
10 Reactions
142 Replies
16K Views
Wadau shalom Wife wangu pamoja na mdogo wake wameanzisha tabia ya kupenda kufanyiwa jambo hilo ambalo zamani hatukua tunafanya, mm nalifanya tu kwa kulazimishwa Hata huyu shemeji yangu siku za...
2 Reactions
264 Replies
33K Views
Habari za majukumu wana jf.. Nimatumaini yangu mu wa zima wa afya njemaa.. Back to the point.. Ndugu zangu nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani kwa takribani miaka miwili na nusu sasa...
14 Reactions
185 Replies
17K Views
Wakuu usikumwema ngoja nipumzike shughuli nilioifanya Leo haikuwa ya mchezo hatakidogo wakuu hawa madem sio wakuwaamini kabisa ukiona analia sio kwamba anakulilia wewe Bali analilia Pesa zako...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Hapa sizungumzii ma ex ambao mliachana kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wenu kama mmoja kwenda nje kimasomo, kuhamishwa kikazi, kufungwa jela. n..k Wanawake mlioolewa, je ex wako ambae...
7 Reactions
237 Replies
23K Views
Habar zenu wanabodi. Kumekuwa na fununu kuwa walimu aka maticha ndo watulivu kwa ndoa, hawana mambo mengi na ni watiifu ndomana wanaolewa sana. Yaani wanajua kaa na mwanaume Jamani kwa wale ambao...
7 Reactions
297 Replies
26K Views
Napenda sana maisha ya ujana, na sipendi nizeeke mapema.Najitahidi kukontro chakula ili nisiwe na mwili uliojaa,nafanya mazoezi ya hapa na pale.Nifanyeje wakuu ili nikiwa na miaka 50 nionekane...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
Wakuu hivi mmewah kujiuliza n Kwann sahiv tatizo LA nguvu za kiume limekua gumzo...yan ukijifanya doctor wa nguvu za kiume nowadays unapiga sana hela.... ..ukwel n kwamba hamna mwanaume...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni jambo la kushangaza sana unakuta mwanamke anashindana na mume wake kuchepuka. Hivi hamjui wanaume tunaweza kuoa wake wengi sana at the same time? Wewe mwanamke unaweza olewa mara mbili kwa...
9 Reactions
351 Replies
21K Views
Sherehe huwa na malengo ya kufurahi kistaarabu watu wanapooana au wanaposheherekea jambo lao lililowafanya kuandaa sherehe Sasa kuna baadhi ya wanawake wakiona kuna mziki hasa huku uswahili...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu hodi humu, Nimekuja na nia ya dhati kabisa kutaka Binti mmoja tu awe nami, sijali kuhusu elimu yake. Awe tu katulia, life is too short kumanga manga. Kama nia yako imenyooka karibu PM Iko...
1 Reactions
6 Replies
705 Views
Napata ukakasi wa kung'amua akili ya wanawake ilivyoumbwa,usiombee siku moja ujichanganye kwenye kumi na nane za hawa watu wakiwa wamechafuka nyongo zao,hakika utajuta kuwepo kwenye huu ulimwengu...
7 Reactions
85 Replies
10K Views
Habari za leo wana JF, natumaini mko mzima wa afya. Okay, naomba nishare na nyie hiki kitu kwa wanawake na wanaume pia. Hii story nimeisikia jana kwa mtu lakini imenisikitisha na kunihuzunisha...
9 Reactions
85 Replies
8K Views
Bora nizidi kuonekana wa mkoani tu,sina hamu ya chakula leo. Medula oblangata hadi sasa hivi imepalarize kabisa na ulimi umepoteza test zote(tamu,chachu na chungu).Leo nimekutana na mchongoma...
18 Reactions
164 Replies
20K Views
Ndugu zangu mpenzi wangu ameniacha. Sijamkosea chochote ameamua tu kuondoka mbaya zaidi ananikashifu na kunipiga vijembe kwenye WhatsApp status zake. Mwanzo nilidhani masihara lakini naona yupo...
9 Reactions
138 Replies
13K Views
ni ujumbe wa message ukisema "ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"? nimenukuu,
31 Reactions
335 Replies
32K Views
Back
Top Bottom