DMCT
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 2,275
- 5,931
Naamini Mungu analea... Wote tu wazima, Wakuu huu uzi ni maalum kwa tuliozijua papuchi na midete kuanzia primary school mpaka sasa hapa tushirikishane jambo lililokufurahsha katika mahusiano hayo na mambo kadha wa kadha kwangu mimi drs la sita nilimtongoza binti akakubali nikawa naenda kwao namsubri aagizwe dukani mpaka saa 5 usiku akiagizwa anatimua mbio over faru duuh.. Lakini sikuchoka kila siku nipo kwao... Pia tukikutana nae japo kwa mbinde hataki hata nimguse tunaongea umbali wa mita 6.5