Huu ni utoto au utaahira?

Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
28,934
2,000
Ukiona mwanaume hataki kukupeleka home/ghetto au hataki kukutambulisha kwa close friends and relatives, ujuwe kuwa he's using you (most of the time).

Mtu akiwa serious na wewe lazima atatamani ujuwe anapoishi, ndugu zake walau uwaone au apige simu uwasalimie, otherwise jiulize.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
50,532
2,000
Ni hivi yalimtokea shost, boyfriend anakwenda kwake, lakini hamfahamishi nyumbani. Mpaka wamepata mtoto, mama mkwe amekuja kumwona mtoto, ubatizo wa mtoto umefanyika kwa shost mama amekuja kama mgeni. Sasa siku moja shost anakwenda Kariakoo shopping, anakutana na jamaa yuko na mother, khe, baada ya salamu aliuliza mnakwenda wapi, mama alijibu kupanda basi twende nyumbani, mama alikuwa na mzigo, shost aliofer lift, jamaa alitaka kutoa nje, mama aliona unafuu ule alikubali.

Wamefika home, masikini mama anaishi kwenye nyumba ya nyuma mbele ameweka msingi tu na ni wa muda mrefu. shost aligundua kwanini jamaa alikuwa hataki afike home. Sasa kama mtu umesha zaa nae, haya si ni mambo ya kawaida tu. Hakuna aliyeumbiwa umasikini.
 
tremendous

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
3,245
2,000
Sijakuelewa ila acha nicomment kwa nilichoambulia,sio kila msichana ni wakupeleka home wengine tunapiga tu,na nikumegee siri kuna wasichana wengine ni wakukutana nao usiku au gest hata barabarani hatuongozani nao kwa sababu hawana mvuto,tunaondolea hamu tu.
Duh!
 
Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,241
2,000
Ni utoto pamoja na utahira na kushindwa kujiamini katika maisha.

Hamna kitu kizuri duniani kama kusema ukweli. Ukweli unakupa faraja. Ukweli unakulinda. Ukweli unakupa utu. Ukweli unakufanya kuonekana binadamu.

Wanaume wengi wanahili tatizo saana siku hizi unakuta maisha yake mabovu kisa wanawake wanapenda pesa anadanganya. Mwisho wa siku ndiyo kuaibika huko. Toka mwanzo jionyeshe wewe ni nani kama atakupenda sawa asipokupenda aondoke.
 
Mnaelewa kabisa nimeandika nini lakini mnajifanya hajaelewa mada ni kuwa kama hata kwenu kukiwa kubovu usione aibu kumpeleka uliempenda
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
50,532
2,000
Ni utoto pamoja na utahira na kushindwa kujiamini katika maisha.

Hamna kitu kizuri duniani kama kusema ukweli. Ukweli unakupa faraja. Ukweli unakulinda. Ukweli unakupa utu. Ukweli unakufanya kuonekana binadamu.

Wanaume wengi wanahili tatizo saana siku hizi unakuta maisha yake mabovu kisa wanawake wanapenda pesa anadanganya. Mwisho wa siku ndiyo kuaibika huko. Toka mwanzo jionyeshe wewe ni nani kama atakupenda sawa asipokupenda aondoke.
Ni kweli kabisa kama shost alipoona ile hali alimpa jamaa support ya kumaliza nyumba ya mama. Mwanzo alifikiri jamaa atakuwa na mke nyumbani kumbe masikini haikuwa hivyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom