Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

hivi utamwamini mwanaume kwa vipi? i mean nijiachie vipi na niridhike niwe na confidence niseme kabisa huyu flani huyu ni mpenzi wangu...... kiukweli naogopa aibu ... unamtambulisha mtu ,siku...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
helo my dears ..kwanza naombeni niombe radhi kwa wanaume wote kuhusu ile thread ya boxer..naona wengi mlinimind hadi pm eti nimewadhalilisha. ila yule jamaa alivaa chupi mbaya jamani acheni...
1 Reactions
88 Replies
11K Views
Leo mwaka unaisha... Ni jambo la kumshukuru Mungu sana maana hii ni kazi yake katika uumbaji wake! Mwaka huu unaoisha tumekutana na mengi lakini yote ni mipango yake Mungu. Personaly mwaka...
42 Reactions
117 Replies
7K Views
Sisi binadamu tuna tabia na mienendo inayotofautiana. Mara nyingi huwa tunatambuana kwa tabia au mienendo yetu wenzetu huita personality. Miongoni mwa tabia au personality inayowachanganya...
22 Reactions
93 Replies
18K Views
Hakuna kitu kigumu kwa maisha ya kijana wa kiume kama kuzaliwa, na kulelewa kwenye familia isiyokuwa na watoto wa kike. Ili familia ikamilike na iwe na furaha, lazima kuwe...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Hili tangazo la CRDB, mama anamwambia mwanae akavae kwanza suruali, '..tena ile ninayoipenda..'. Natafakari: Mama is so concerned kijana wake 'atatokelezeaje', pili she even has her 'favourite'...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Read for yourself
4 Reactions
64 Replies
7K Views
Ukimtongoza mwanamke akakubali na baada ya muda kidogo ukachomekea yako kutaka yaleeeee mambo yetu basi utamsikia mwanamke akija juu, oooooh bado sijakujua, juzi tu tayari ushaomba, unaelekea wewe...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Turejee ya kale kwa babu zetu,enzi za zama za chuma(iron age) wanawake hawakuruhusiwa kabisa kupita karibu na wafua vyuma(iron smith) mana wangesababisha wanaume wafua vyuma wasiwe makini na kazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JM imezoeleka leo kwamba watu (wanawake na wanaume) ila hasa wadada wapenda kuaigia kwenye mahusiano na watu ambao wanaonekana kuwa na maisha flani ya juu bila kujiuliza kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, Hii tabia nishakutana nayo kwa wadada kadhaa, na hata marafiki zangu wengi tu tukikaa vijiweni na kuanza kupiga story za hawa viumbe, nao inakuaga hivi hivi. Yaani unakuta ndio kwanza...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
RAIS wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ameonya mawaziri wake dhidi ya kuwa na ‘nyumba ndogo’, akisema kuwa wanatumia mali zao nyingi katika uhusiano wa kimapenzi na wanawake wengi wasio wake zao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa utafiti huo eti hawa watu wenye upara wana homoni nyingi sana zinazoitwa testosterone, ambazo huwapa nguvu na hamu ya katika kufanya mapenzi muda mwingi,,homoni hizi zinahusika pia...
1 Reactions
71 Replies
10K Views
Nimekuwa naonana nae kwenye mizunguko yangu hapa na pale,na kila nikikutana nae hapendi kunisalimia kwambali atasogea napengine tutapeana mikono na kuulizana nambo mawili matatu na ata akiwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndugu wana JF mwanamke bora anatakiwa kuwa na sifa zipi? Nauliza kwa maana siku hizi kila kukicha ndoa zinavunjika kwa kiwango kikubwa na lawama nyingi wanatupiwa wanawake. Pia imedhihirika...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Wadau naomba mnisaidie ni nini kinachowashawishi watu wa jinsia moja kujiingiza katika mahusiano ya mapenzi kinyume na maagizo ya Mungu? Na wanapata faida gani wanapofanya hivyo?
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Wakubwa mambo vp? Natumai mu wazima. Jamani mwenzenu vitu hivi huwa vinanikosesha raha kabisa na hamu ya mapenzi haijalishi una sura nzuri vp,moja ni RAFUDHI hasa ya kabila fulani la huko mkoani...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
alikuwa ni pacha wangu. Umeniacha nikiwa bado nakuhtaji tuliishi kwa umoja na mshikamano. Wazaz walizoea kutuona tukienda kusalimia pamoja lakn leo hii umeniacha peke yang mwenzio. Najiona kama...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
jamani duniani kuna mambo ,juzi nilikutana na mzee akanambia yatawkisha ukishaoa ,nilimfungulia mlango mdada mmoja , nilipozunguuka kwenye mlango wa usukani ndipo njemba hiyo ikarusha dongo ila...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Naomba msaada wa kuinusuru ndoa yangu(Naona ipo ukingoni. Mimi ni baba mwenye watoto wawili(7 & 4) Nipo kwenye ndoa mwaka wa 8 sasa. Nimeanza kupata matatizo na mke wangu yapata mwaka...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom