Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ukweli nipo kwenye husiano lakini balaa tu mke ana uwezo mme mtupu tunaishi tu atujaoana ukweli nikama kaniweka ndani tangu tumekutana sijawai kuwa na faida nae kimaisha yeye akija kwangu anataka...
0 Reactions
87 Replies
8K Views
Kweli duniani kuna mambo..na ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni...nilipata kuwa na mrembo mmoja kipindi cha nyuma, kwa kweli muonekano wake kwa nje unaficha mengi ya ndani..wakati namfukuzia...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
We need to find God, and he cannot be found in noise and restlessness. God is the friend of silence. See how nature - trees, flowers, grass- grows in silence; see the stars, the moon and the sun...
0 Reactions
5 Replies
971 Views
Asalaa aleykhum,Bwana Yesu asifiwe,Tumsifu Yesu Kristo,na kwawapagani, Mambo?ITIFAKI IMEZINGATIWA.. Yes,well!nipo hapa japo kukujulieni hali na hii thread below. Kuna mambo ambayo ukiyafanya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Baadhi ya akina dada mnatufedhehesha sana sisi kaka zenu, wadogo zenu na hata wazazi wenu kuhusiana na hili jambo: Jamani unamkuta mdada mrembo tena mwenye kuvutia sura lakini ujue kinywa chake...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke ambaye ni HIV+ ili tuweze kuishi pamoja kwa muda ambao Mungu atatujalia. Sifa zake: Awe ameajiriwa au kujiajiri, mweupe/maji ya kunde, mrefu...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari zenu wadau wa Jamii Forums.. Nasikitika kuwataarifu kuwa member mwenzetu dada ram amefiwa na binamu yake. Msima upo Butimba jirani na Magereza (Mwanza). Naomba tuungane kumfariji dada...
13 Reactions
89 Replies
6K Views
I have three wishes for you on your birthday. First, I wish that this Birthday teaches you something new and beautiful. Second, I wish that you have a day that you'll remember forever with a...
6 Reactions
77 Replies
5K Views
Acha video iongee yenyewe..... http://youtu.be/g5izujJGL0M http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=g5izujJGL0M CC... kwa wapenda kula vya watu wote...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Closed
#Majanga Ukitaka kuona ndoa ya blue haya sasa uoe mwanamke ambaye maisha yake yote yalikuwa ni kwenye shule za boarding, chekechea boarding, primary boarding, secondary boarding, a level...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
I haven't seen it dressing in white under-pant/wear, always in pink, red, bahari blue, black and colorless pant Whyyyyy? u know white mashuka/pants they activate ur romantic window? Why why why?
1 Reactions
4 Replies
956 Views
Jamani wana JF nisaidieni ushauri. Sisi tulizaliwa 7, wavulana 3, na wanawake 4. Bahati mbaya wazazi wetu wote walishatangulia mbele ya haki. wavulana wote wameoa na wasichana wameolewa. Kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani msinishangae kwa ninachotaka kusema!!!! Eti wakaka wenzangu, hasa mliooa na kuwa na mdada/wadada walioolewa, Je, ktka maisha yako ulishawahi kupata hasira kutokana na jinsi shemeji yako...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Jamani kuishi ni kujifunza imetokea nimempenda sana binti wa kitaani kwetu form four leaver kutokana na tabia yake nikamweleza ukweli kwamba nitamuoa baada ya mm kuwa nimekamilisha mambo yangu ya...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari wana MMU, Leo naomba niwashilikishe kwenye kisa kimoja... Juzi usiku mida ya saa sita usiku nipo na "mama" tunatoka sehemu nikakutana na rafiki yangu wa mda mrefu,nikamuuliza anaenda wapi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi kuna uwezekano wa kuwepo urafiki wa kawaidi tu wakushibana tena wa muda mrefu kati ya Mwanamume na Mwanamke tofauti na wakimapenzi??, Au ndio wizi mtupu.. -Na kama upo, hivi unakuwaje...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Habari wanajf!! NI iv nina swali je kuna madhara gani ya mtu kuolewa na mwanaume ambaye labda hujampenda saana au hujampenda kabisa lakin yeye amekupenda saana? Na sio kwamba uko kifedha au ki...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Ni safari ndefu yenye milima na mabonde...........safari iliyokua ya kiu kali na machungu mengi.Tabasamu lako la kila siku asubuhi ndio chachu na nguvu ya maisha yetu. Hata ndugu zetu wa damu...
15 Reactions
106 Replies
8K Views
Wanaume wamekuwa waongo kweli.Unadhani ni bahati mbaya?Hapana!....Wanawake wanasabisha yote haya: Kwa nini wanaume wamekuwa waongo sana?Sababu zipo kadhaa! 1;Wanawake wamekuwa na matarajio ya juu...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom