Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Closed
Habarini, Tulianza kama utani tukiwa tuition. Alipenda kukaa karibu yangu hata nikiwa kiti cha nyuma. Mara kadhaa alinitaka nimpapase huku akiufunika mkono wangu na hijabu wakati ukifanya mautundu...
0 Reactions
368 Replies
35K Views
  • Closed
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata...
5 Reactions
264 Replies
20K Views
usinywe konyagi kisha ukatafuna kitunguu swaumu, uwe mwanamke au mwanaume utapata tabu inakupandisha mara 100%. anayebisha shauri yake yakimkuta mimi simo.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nilikuja kuelezwa hili na dada mmoja ambae nieafiki yangu kama na mimi nalijua hili Ni kwamba huyu dada mume wake amemuambia kuwa kuanzia jana hawatakuwa wanakutana kimwili bila ya kuwa na ratiba...
10 Reactions
214 Replies
13K Views
  • Closed
Acha niseme kweli, Wanawake wengi wakivaa nguo wanaonekana nadhifu sana kila idara, yaani ukimuangalia nyuma alivyojaza unatamani angekuwa wakuliwa kama nyama. Matiti yalivyonyanyuka, tumbo...
8 Reactions
112 Replies
17K Views
Wakati tunaanzana nilifikiri una mapenzi ya kweli, kumbe unapima kama utapata chochote kitu kutoka kwangu. Nikakushtukia wala sikujiachia kihivyooo kwa kuwa nilijua unataka nini kutoka kwangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nilikua na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana, lakini ilitokea kama bahati mbaya mawasiliano yakakatika gafla kama miezi 3, kila nilipojaribu kufanya mawasiliano nae alikataa kabisa kupokea...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hello. Kama kichwa cha habari kinavoeleza, Ni hatua gani mtu mume/mke hufikia na kuamua kuoa/ kuolewa?? Kwenu wadau.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimegombana na mke wangu siku ya 5 sasa na tukiwa tunaishi nchi mbalimbali,kisa aliniambia story ambayo kuna jamaa yangu fulani alinisema vibaya na basi na mm nikachukia na kumpigia simu huyo...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Wanawake/akina dada, najua ukweli unauma lakini mkubali tuu kuwa wengi wenu hamtaolewa kwa sababu mmepoteza dira ya maisha yenu. Kufuatia malalamiko ya akina kaka wengi nimeamua kufanya simple...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF,nina swali dogo linanitatiza,ebu imagine we ni mwanaume na unarafiki wa kike(namaanisha urafiki wa kawaida kabisa) akakupa zawadi ya box la condom au viceversa mwanamke apewe...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
wa ndugu mimi ni kijana naishi hapa mwanza nimemaliza chuo mwaka huu na nimebahatika kupata kijikazi japo hakilipi kihivyo.nilipokuwa chuo nilibahatika kuwa na mahusiano na dada mmoja for almost 2...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
Salaam,aleykum,tumsifu Yesu Kristo wana jf, Samahani kwa kukopotezeeni muda,ila nilikuwa naomba nijue hatima ya kufanya mahusiano yakimapenzi na mwanamke aliyekwisha zaa kabla ya kuolewa. By the...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Naomba msaada wa kuinusuru ndoa yangu(Naona ipo ukingoni... Mimi ni baba mwenye watoto wawili(7 & 4) Nipo kwenye ndoa mwaka wa 8 sasa... Nimeanza kupata matatizo na mke wangu yapata...
1 Reactions
145 Replies
15K Views
Kwanza kabisa natoa angalizo kuwa mada hii haina malengo yoyote ya kukasfu wala kuchafua mtu yeyote.. Leo nikiwa nasafiri pembeni yangu walikaa wadada wawili waliojiweka kisasa na vimini vinavyo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar za wakat huu wanajukwaa? Mimi kuna jambo linatiza kdogo.. Ilikua mwez wa 7 mwaka huu ambapo nilikua nafanya mafunzo yang kwa vtendo maeneo flan huko irnga! Ila pale kulikua na madam mmoja...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jana nilitoka na shemeji wenu out kucerebrate baada ya posa yake kupokelewa kwa wazazi wangu baada ya urafiki wa miezi miwili. Tukapanda zetu daladala. Ndani ya daladala kulikuwa na viti viwili...
0 Reactions
72 Replies
7K Views
Katika mahusiano hasa ya gf na bf! kuna mambo mabaya huwapata watu mengine ya aibu mengine ya kutisha ila ndio tena hivyo siri hubaki kwa wahusika! Na mahusiano huwa ni kucheza bahati nasibu...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Habarini marafiki, Hata nashindwa nianzie wapi jinsi hili jukwaa lililovyoharibiwa na kuvurugwa, kisha kupondwapondwa kwa watu wachache wenye kutaka kujitafutia umaarufu wa kijiefu humu...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
storiiii............................................ Moyo wangu bado uko kwako..hope in next life i will dare to tell you I loved you but was too shy to openup Venue Chuo kikuu cha Dar es salaam...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom