Kumbe kukumbatiana ni tiba

Kumbe kukumbatiana ni tiba

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,003
Reaction score
37,908
1383878_10151798758392909_871020955_n.jpg


Read for yourself
 
Ndo maaanaeeeee..!!!!


Haya na mimi naanza hugging spree...!!!
tena wewe ndo usiseme kabisaa
hivi umesahau??

halafu kwann juzi nakutext khata kunijibu ukagoma?? xmass nakwambia usichinje kama bado hujaniomba samahan.
 
Tena kubwa sana. Kwa mfano watoto wanaozaliwa premature na kutakiwa kuendelea kuwepo hospitali kwa muda mrefu ili kufuatiliwa kwa karibu madaktari na manesi hupendekeza Baba kwenda hospitali hata mara tatu kama inawezekana kwa siku avue shati na kumkumbatia mtoto huku mtoto akiwa na diaper tu. Wanasema ile kugusana ngozi kwa ngozi humsaidia sana mtoto kuliko hata incubator kupata ahueni haraka na hata kuepuka kifo na pia kuruhusiwa kwenda nyumbani mapema ukilinganisha na yule mtoto ambaye Baba yake hafanyi hivyo.
 
I have a thing with holding hand, yaani huwa nafeel relief n peace nikimshika mtu mkono. Nikikaa na mwanangu l hold his hand, mpenzi the same. Pia nikiwa nauguza huwa nahold hand ya mgonjwa, nakuwa nahisi kuwa nampunguzia maumivu au namreassure kuwa niko naye.

Ofcourse hugs are my weakness pia.
 
Aisee kumbe ndio maana kuna kibabu flani kilikua kinapenda sana kuhug wakati wa salam kanisani. Yaani kilikua kinategea saa ya kusalimiana ikifika kinakukimbilia na kuhug kwa muda mrefu hadi karaha. Ilibidi wakati huo ukikaribia lazima nitoke nje kwani nilikua nakwazwa mno.
 
Back
Top Bottom