Kwangu hata uwe na sura nzuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwangu hata uwe na sura nzuri

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KIBURUDISHO, Apr 28, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Wakubwa mambo vp? Natumai mu wazima.

  Jamani mwenzenu vitu hivi huwa vinanikosesha raha kabisa na hamu ya mapenzi haijalishi una sura nzuri vp,moja ni RAFUDHI hasa ya kabila fulani la huko mkoani Mara,pili VIDOLE vya miguu hii ni kwa wote yaani nikimuangalia demu juu sura inalipa ila ninapomuangalia chini kwenye vidole vya miguu nikakuta vimekaa shagalabagala pamoja na kucha yaani hapo tu hamu huniishia.

  Hivyo ndivyo nionavyo mimi sijui wewe.
   
 2. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Mmmh hapo hata mimi umenigusa kwakweli. Hapa namwomba hata Mungu anisamehe tu cse hakuna mtu ninae muogopa kama mwanaume mwenye vidole vya miguu na mikono mikubwaaa na kucha panaa!! Huyo hata akisema tu anisalimie kwa kunishika mkono naweza kupoteza fahamu gafla.
   
 3. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  hapo kwenye RED ulikua una maanisha LAFUDHI?
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kuna ukweli fulani.....
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Matatizo ya kutokujitambua haya!Mahusiano yataendelea kuwa ya matatizo mpaka tujitambue sisi ni nani!
   
 6. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hahahhhahah jaman watu mnavituko
   
 7. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hmmm mnasema tu,tena nyie mnaochagua mnapata mke/mume vituko zaid ya hapo na unakuwa huoni kasoro kabisa!
   
 8. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  kumbe nawe umeona eh,naye pronounciation inamtoa knock out. haha! ukitaka kutoa kibanzi jichon pa mwenzio toa kwanza boriti jichon pako!
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  me jaman ukiwa na kiharufu flan mdomon na kwny kwapa kwangu huingii. hvo tu ndo vigezo haa nimesahau harufu ya miguu.akivua soksi chumba hakikalik lol!
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  am finished.

  Vidole vyangu vya miguu kama tangawizi
  Lafudhi ndo usiseme, ninabomoa kuta ile mbaya.
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Si umbeni wenu kwa style muitakayo?
  Maanake huyu anaewaumba mnaowatoa kasoro ameishiwa ubunifu !
  Si ndiyo ?
  Eee Mwenyezi samehe wasiojua wasemacho!
   
 12. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Aisay unachekesha yani mwanamke akiwa ana miguu kama ya bata unamzila....kweli kuna kale kamsemo kanasema mchagua jemba si mkulima...hao ndo wanakuwa watmu sana we hujui tu, si umemuona bata na uchafu wake na miguu yake vipi imekaa...Kuna watu wanampenda kuliko kuku :A S shade:
   
 13. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Hujafa hujaumbika jamani.
   
 14. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  enh sio eh
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  hapo ndipo tunatofautiana....mtu hawezi umba hata kiazi....anakuja kumkosoa Mungu....jamani jamani....
   
 16. vanilla

  vanilla JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vipi wewe vyakwako vinalipa? usije ukawa unawakimbia wenzio kumbe na weye kuna wanaokukimbia!!
   
 17. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  huyu amenikumbusha sista du mmoja alikuwa anadis watu wanaonuka midomo eti ni wachafu sana.. Sasa siku moja kwa bahati mbaya nikagundua kwamba dauni yake inatema ni balaa...
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Umeiona Shem! Sometyms members wanakufuru meanwhile wakijua wanakufuru UUMBAJI WA OUR CREATER !
  Bt hata hao wenye human rite hawaikubali hii maneno!
   
 19. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa mfano mtaani kwenu angekuwa huyo mmoja tu anagombaniwa ungefanyaje?
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  yaaaani.,... Dah!
   
Loading...