Ndoa yangu ipo mashakani

Ndoa yangu ipo mashakani

J Mbungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
269
Reaction score
74
Naomba msaada wa kuinusuru ndoa yangu(Naona ipo ukingoni.

Mimi ni baba mwenye watoto wawili(7 & 4) Nipo kwenye ndoa mwaka wa 8 sasa.

Nimeanza kupata matatizo na mke wangu yapata mwaka sasa kuhusiana na TENDO Zima la mchezo wa kitandani.

Kwakweli nimeshindwa hata kumuelewa,ANANIKATALIA kufanya mapenzi kwa visingizio kibao (Mara anasikia usingizi sana,mara hajisikii,mara amechoka sana).

Yaani ndani ya huu mwaka sijawahi kufanya naye mapenzi kwa ridhaa yake bila kumlazimisha kwa nguvu.

Yaani imefika wakati nika amua kumsaidia kazi zote za nyumbani (Kufua kupika na kadhalika) Ili mradi akifika nyumbani asifanye kazi yoyote ya kumchosha..LAIKINI haija saidia kitu.

ANASEMA HANA HAMU KABISA HATA MWAKA UNAWEZA KUPITA BILA KUFANYA MAPENZI (WALA HAONI TAABU).

Mwanzoni alikuwa akifanya kazi mjini (Akiondoka alfajiri na kurudi Jioni sana)..Sasa nimemfungulia salon hapa hapa maeneo ya nyumbani(Yote hiyo ni kujaribu kumpunguzia uchovu anosema ndio unamfanya akose HAMU.. Lakini haijasaidia kitu.

Kusema ukweli hii hali imenichanganya sana ( Mimi si mtu wa kutoka wala sijawazia jambo hilo) Lakini nitaishije bila kupata haki yangu ya ndoa na mke ninaye?

JAMANI NAOMBA USHAURI HATA KAMA NI WA KITABIBU : MAAANA HATA KAMA ANATEMBEA NA MTU MWINGINE (HATEMBEI NAYE KILA SIKU) LAZIMA KUNA SABABU ZA KIAFYA ZINAZOMFANYA HAKOSE HAMU.
 
Pole sana.
Ila sie ndo tulivyo mara tupatapo mtu anaetukuna zaidi ya waume zetu.
Kiufupi huyo mkeo ana mwanaume nje anaemtia jeuri.
Chunguza lazima utagundua tu.

Ila kwanini ulalame kwa ajili ya mwanamke mmoja tu...mbona wanawake wamejaa!
Mtingishe kwanza kama hujaona akichambia steelwire wiki.
 
Mbungi kwanza pole sana kwa maswahibu yanayokukuta, binafsi ninahisi mkeo anatoka nje ya ndoa ndio maana ameanzisha tabia hiyo. Jitahidi ku-invest ktk uchunguzi utagundua tu. Wanawake wakipata mtu nje uwa akili zao zinajisahau sana na wanaanzisha visa haswa kwenye tendo la ndoa maana kuna mtu nje anamridhisha zaidi yako hivyo anakudharau. Kukuambia kuwa anaweza kukaa mwaka mzima bila tendo la ndoa ni kielelezo tosha kuwa kuna watu wanakusaidia. pole sana fuatilia utajua tu
 
OK. Nkuu, yaliyokukuta sio wewe tu, ndoa nyingi ziko hivyo ila hawaongei hadharani kiasi kwamba unadhani mambo yao yako bomba kumbe sivyo. Lakini mficha uchi hazai, hongera umeamua kupasua jipu lako. Umesikia mchangiaji wa kwanza mwananke mwezao kakuambia wanawake walivyo hasa wanapokuwa wamepata nkunaji wa pembeni. Si unajua mkate wa kuiba ulivyo ntamu?

Fine, ndoa nyingi wanalala kama kaka na dada, nadhani pamoja na kuwa wachovu sababu ya kazi kutwa nzima lakini mavyakula tunayokula yamechangia kwa kiasi kikubwa sana. Hatujawa salama, vyakupa vingi supermarket ni processed, hata kina bakhresa na majuisi yao na kina Mengi na soda zao na kina Mohammed enterprice n.k, wanatuletea machemicals yanayotuathiri sana afya zetu. Mbaya zaidi hatuna kazi za mitulinga kutulazimisha kufanya mazoezi ya nguvu, huko kuchoka ni kwa sababu ya story tu maofisini na kazi za kuvalia suti na tai, halafu soda na juisi na hamburg kwenda mbele, hormons zinaparaganyika na hamu ya chakula cha usiku kwishney. Sasa kwa kuwa muda mwingi watu huwa kazini, hata chakula cha usiku wanatafuniana humohumo maofisini hata kukausha kabisa hamu ya jamaa zao majumbani, hasa kwa sababu majumbani namo mikao huwa ileile ya juzi na jana, ubunifu kwa wanandoa hamna. Kifo cha mende tuuuuuuuuu, sanasana mbwa kachoka kidogo kwa kuibia halafu unaogopa watoto watasikia mbwembwe, kitanda nacho kinawashitaki kwa kushangilia fyekufyekufyeku...Mwe! Bhaaaaa!

bwana wewe hayo ni machache tu, ukijua kiini cha tatizo ni rahisi kutibu. Kikubwa utakapopata nafasi jaribisha ubunifu kadha, usitumie njia moja nenda rudi toka capetown mpaka Cairo, wakati mwingine ntoe uende naye mahali pageni kabisa muwe peke yenu undabadue mpaka aseme uuuuwiii!..... ntamu hivoeeeh? ......Simpi tena Johniiiii! Rafiki yangu mmoja aliniambia anaondokaga na nkewe kwenda guest house ili wakale kwa saizi yao wanarudi mapemaaa asubuhi wepesiiiiii! Badilisha pia mikao na uboreshe kwa karufundi ka hapa na pale vitu ambavyo unadhani mwizi anaweza kuwa anavifanya, wewe fanya zaidi na kwa upole zaidi as if unaiba. Usinkosoekosoe siku hiyo nzima katika mambo yake hata kama anafyongo. Wenzetu hawa ukinkosoa kidogo tu hamu nayo inaota mbawa.

Kuchunguza nani anakula nkate wako itakugharimu sana maana huyo ni ntu nzima anajua anachofanya. Wewe mwonyeshe kuwa unampenda na kunjali tu, zawadi za hapa na pale zile unazojua roho yake inapenda mpelekee. Usikurupukie kama ulivyosema kwamba unatumia nguvu kama yeye hataki, mwandae kisaikolojia ili mwili wake upokee mtalimbi wako, kwani ukavu anaokuwa nao wakati unashindilia unamfanya achukie zoezi zima. Maelewano babueeeeh! nsopsop kwanza ukipetipeti kwa muda wa kutosha hata kufanya vitu ambavyo usingependa kumfanyia kwa raha zake lakini bila kuhiari. Utajua tu kwamba sasa yuko tayari na ndipo uchomeke nchumali wako tratiiiibu weeeeeee, bhaaaa! Nikuambie nkuu, matatizo mengi ya wanandoa mahakama yake ni kwenye 6x6 uchiku wakati watoto wote kulalaaaa! Hapo 95% ya matatizo yao husuluhishwa. 3% wanasaidia wanandugu na marafiki, lakini 2% mahaka ya sheria za nchi husuluhisha, sanasana kwa kuwavunjia ndoa yenu. Tumia kitanda kusuluhisha mambo yenu maana it is effective and efficient!

Kama unaona hakieleweki kabisa, njia ya mwisho ni kumringishia. Tafuta ntu mwananke mwenzie ajipitishe mbele yake akionyesha anakujali kupitiliza, nawe onyesha kwamba unampenda kimwana huyo (hata kama maembe yake huangui), onyesha fully kwamba you are actually minus mm apart, mumeivana kishenzi naye aonyeshe hivyo, umwage wakati mwingine kwamba unaenda kwa Rose umeitwa ati kuna tatizo, halafu kakae hukoo kwa muda, ukirudi onyesha furaha kwa nkeo kwamba umemaliza tatizo alilokuwa nalo rose, ukimsifu roze kuwa anajali sana na kukuamini mno.... (unajua tena wanawake wana wivu sana), nkeo ataanza kunung'unika, usimwonyeshe kuwa una kiu naye sana wakati huo, atakuanza mwenyew kujisogeza ulambe denda lake. Asiposikia kabisa ujue amekwisha kukutema maishani mwako, tafuta kuoa mwingine maana hadithi imekwisha hapo. Upooooo nkuu?
 
Mkuu chunguza huenda kapata vijana wanaojua kwenda uvinza - dakika 30 dogo kazama chumvini unafikiri atakumbuka penzi lako tena?

ha ha ha --

"usitumie njia moja nenda rudi toka capetown mpaka Cairo, wakati mwingine ntoe uende naye mahali pageni kabisa muwe peke yenu undabadue mpaka aseme uuuuwiii!..... ntamu hivoeeeh? ......Simpi tena Johniiiii"

ushauri mzuri -- steps

1. Mnunulie zawadi nzuri ambayo ataipenda - yaweza kuwa simu au hata nguo
2. Mwambie mtoke nyie tu - watoto wabaki na dada - Tarehe zake ziwe za ovulation
3. Hakikisha nguvu zako za kiume siku hiyo zipo sawa - tafuta boster kama unaona zipo hafifu
4. Pateni chakula kizuri - kama anatumia wine basi mchagulie ile classic mkifika kwenye hotel walau ya hadhi ya 60k hivi
5. Wakati mnapata viburudisho & Lunch mwonyeshe mnampenda - macho ya mahaba tu yanatosha - ataanza kulowana taratibu kule down & pia ataanza kukuonea aibu kwa mbali
6. Muombe mkapumzike kidogo ili jioni mtoke kwenye dinner - hapo mzee sasa nenda ukafanye ufundi wako wote
7. Mkiwa mmesimama chumbani Hakikisha unamkumbatia - unamshika sehemu zinazonyegesha - kabla ya kuvua nguo - utasikia akihema huku akiishiwa nguvu ya miguu
8. Taratibu anza kuchonjoa nguo zake, moja baada ya nyingine - wakati dude lako lipo tayari kwa maangamizi
9. Usitumie nguvu kupeleka ndani, weka taratibu mpe kichwa kwanza- utaona anaanza kuifuata mwenyewe - huku akiguna guna -
10. Siku hiyo jitese weye, so usiwe na pupa ya kukojoa we peleka mdogo mdogo hadi usikie yeye anahema huku akipiga mikono yake kulia na kushoto - hapo jua sasa utamu umemkolea - ataanza kulia lia kwa sauti ya mahaba kama mdau alivyokueleza hapo juu

Muda huo sasa utumia kwa busara anza na wewe kumpa mahaba huku ukimwambia unampenda kwa nini hakupi mara kwa mara - sasa utasikia maneno mengi- huu wakati anaweza hata kuropoka kwamba "simpi tena john" ha ha ha

11. Anapokaribia kukojoa, ingiza dude fresh sehemu inayotakiwa - jitahidi kuliegesha ili liwe linasugua taratibu kwenye kinembe wakati inapita ndani na nje

13. Unaweza kia kutumia kidole kuchezea kisimi taratibu wakati huo kapagawa hajielewi - ukiona anaanza kukojoa basi na wewe jitahidi muda huo huo ukojoe naye (uwe mtu wa timing)

14 Inategemea na mwanamke, wengine wanakuwa kama wamepigwa shoti ya umeme, wengine wanakoroma kama ngombe, wengine wanaita yesu yesu, mwingine atakuita jina lako, sasa hapo na wewe mzee mzima jitahidi kumalizia kwa syte yako.

15. Baada ya hapo, mpe seconds kama 10 anza kutoa mtarimbo taratibu - mwangalie kama sec tano mpe busu zito, kisha jilaze pembeni yake - hapo atapitiwa na usingizi, mwache apumzike usimsumbue.

16. Akishtuka baada ya lisa limoja au mawili basi heshima ya ndoa itakuwa imesharudi - ogeni pamoja kisha tokeni nje ili kupata upepo, vivywaji, dinner nk - usiku lazima atakupa tena, we tumia ujuzi ule ule ila safari hii jaribu kwenda uvinza ili ukate mzizi wa fitna kabisa - HATOKI TENA huu ndiyo muarobaini wa mke msumbufu.
 
Washauri wamepita ambapo ningepita,hivyo sina budi kusema fanyia kazi utakaloona linafaa.
 
OK. Nkuu, yaliyokukuta sio wewe tu, ndoa nyingi ziko hivyo ila hawaongei hadharani kiasi kwamba unadhani mambo yao yako bomba kumbe sivyo. Lakini mficha uchi hazai, hongera umeamua kupasua jipu lako. Umesikia mchangiaji wa kwanza mwananke mwezao kakuambia wanawake walivyo hasa wanapokuwa wamepata nkunaji wa pembeni. Si unajua mkate wa kuiba ulivyo ntamu?

Fine, ndoa nyingi wanalala kama kaka na dada, nadhani pamoja na kuwa wachovu sababu ya kazi kutwa nzima lakini mavyakula tunayokula yamechangia kwa kiasi kikubwa sana. Hatujawa salama, vyakupa vingi supermarket ni processed, hata kina bakhresa na majuisi yao na kina Mengi na soda zao na kina Mohammed enterprice n.k, wanatuletea machemicals yanayotuathiri sana afya zetu. Mbaya zaidi hatuna kazi za mitulinga kutulazimisha kufanya mazoezi ya nguvu, huko kuchoka ni kwa sababu ya story tu maofisini na kazi za kuvalia suti na tai, halafu soda na juisi na hamburg kwenda mbele, hormons zinaparaganyika na hamu ya chakula cha usiku kwishney. Sasa kwa kuwa muda mwingi watu huwa kazini, hata chakula cha usiku wanatafuniana humohumo maofisini hata kukausha kabisa hamu ya jamaa zao majumbani, hasa kwa sababu majumbani namo mikao huwa ileile ya juzi na jana, ubunifu kwa wanandoa hamna. Kifo cha mende tuuuuuuuuu, sanasana mbwa kachoka kidogo kwa kuibia halafu unaogopa watoto watasikia mbwembwe, kitanda nacho kinawashitaki kwa kushangilia fyekufyekufyeku...Mwe! Bhaaaaa!

Kuchunguza nani anakula nkate wako itakugharimu sana maana huyo ni ntu nzima anajua anachofanya. Wewe mwonyeshe kuwa unampenda na kunjali tu, zawadi za hapa na pale zile unazojua roho yake inapenda mpelekee. Usikurupukie kama ulivyosema kwamba unatumia nguvu kama yeye hataki, mwandae kisaikolojia ili mwili wake upokee mtalimbi wako, kwani ukavu anaokuwa nao wakati unashindilia unamfanya achukie zoezi zima. Maelewano babueeeeh! nsopsop kwanza ukipetipeti kwa muda wa kutosha hata kufanya vitu ambavyo usingependa kumfanyia kwa raha zake lakini bila kuhiari. Utajua tu kwamba sasa yuko tayari na ndipo uchomeke nchumali wako tratiiiibu weeeeeee, bhaaaa! Nikuambie nkuu, matatizo mengi ya wanandoa mahakama yake ni kwenye 6x6 uchiku wakati watoto wote kulalaaaa! Hapo 95% ya matatizo yao husuluhishwa. 3% wanasaidia wanandugu na marafiki, lakini 2% mahaka ya sheria za nchi husuluhisha, sanasana kwa kuwavunjia ndoa yenu. Tumia kitanda kusuluhisha mambo yenu maana it is effective and efficient!

Za leo,

nimependa hizo paragrahs 3.....

ubarikiwe
 
Hebu weka nambari kwa kuniPM ntasema naye halafu nitarudi hapa na majibu. Fanya upesi Mkuu!
 
Kaka, usikurupuke:
1. Hormones imbalance
2. Uvimbe wa tumbo
3. Menopause (Mature au pre-mature)
4. Psychological condition caused by e.g stress, relationship tensions, depression (msongo) or perception as a result of many reasons (mf dini, mtizamo wa uhusiano anaoutaka, kuangalia picha za ngono, kusimuliana stori za ngono n.k.) na hapa ndipo panapoweza kusababishwa pia na kuwa na mahusiano nje, lakini haimzuii kufanya na wewe kwani hamu ya mapenzi haiishi kwa kuwa na uhusiano nje tu, muda uliouonyesha ni mrefu mno kuamini sababu hii, uwezekano mkubwa inaweza kuwa hiyo mifano mingine.
4. Sumu mwilini kutokana na exposure ya madawa inayopelekea mabadiliko ya mwili (mfano madawa ya kazini, sigara, pombe, madawa ya kulevya nk)

Ndio vichocheo vinavyoweza kuleta upungufu wa nguvu za kike na huondoa hamu kabisaa, sio tu kwakuwa kuna tundu basi we uchomeke tu, atakubali kwakuwa anakuonea huruma ila huwa ni maumivu na kero (huyo inaweza kuwa ni mchanganyiko wa zaidi ya kimoja hapo juu): soma zaidi hapa: Female sexual dysfunction: Treatments and drugs - MayoClinic.com

Ni vema kutafuta ushauri nasaha ambayo mimi naamini ni njia muafaka, anaweza kuw kiongozi wa dini, Mtu Mzima unaemuamini, au vituo vya afya vyenye ushauri nasaha hasa vya afya ya uzazi. Kuzungumza na mshauri au mtaalamu ambaye ni mtaalamu katika matatizo ya ngono na uhusiano. Tiba mara nyingi pamoja na elimu kuhusu jinsi ya kuongeza nguvu ya mwili wako kingono, njia ya kuimarisha urafiki na mpenzi wako, na mapendekezo kwa ajili ya kusoma vitabu, hudhuria semina au mazoezi ya wanandoa.

Angalia pia uwezekano wa kubadili mwenendo wako (sio kufanya kazi anazopaswa kufanya yeye) bali ni kuweka mazingira yatakayomlazimisha kuwajibika na kuanza kuhoji maswali, ikiwemo kutokumfanya ajue nia au mtizamo wako kwa wakati huo ili aanze kuchangamsha akili yake na kutumia muda huo kukudadisi. Si lazima uwe mkarimu sana, la, pia kuwa strict bila kumbana yeye na mambo yake inafaa. Tafuta Mama watu wazima pia anaoaminiana nao na wewe pia uwe unawaamini ili wakazungumze nae kwa hekima bila kukurupuka kwani inaweza kuwa hatari iwapo atajua umetoa siri hiyo nje bila kuwa na mtu anaeweza kumudu muitikio wa mama pale anapogundua swala hilo.
 
aaah...aaaaah..Kutoka na mwanaume mwingine siwezi kukataa(yeye na roho yake) Lakini kwa mazingira ya sasa hata angekuwa naye ..basi watakuwa wanakutana mara moja kwa mwezi..( sasa hii haiwezi kuondoa hamu ya kufanya mapenzi na mumwewe walau mara moja kwa wiki) Yaani nisipo mkazia msuri hawezi hata siku moja akasikia nyege za kungonoka na mimi..(Ni mpaka niseme Leo Lazima,baada ya hata mwezi kupita bila kuona dalili za kunitaka..!(
Pole sana.
Ila sie ndo tulivyo mara tupatapo mtu anaetukuna zaidi ya waume zetu.
Kiufupi huyo mkeo ana mwanaume nje anaemtia jeuri.
Chunguza lazima utagundua tu.

Ila kwanini ulalame kwa ajili ya mwanamke mmoja tu...mbona wanawake wamejaa!
Mtingishe kwanza kama hujaona akichambia steelwire wiki.
 
PROFESA--- Ahsante sana kwa mchango wako ulioshiba... Ubarikiwe sana.. ( I will indeed utilize the content) Be blessed always..!

Mkuu ELNINO... Barikiwa sana wako.. Ahsante sana..!
Mkuu chunguza huenda kapata vijana wanaojua kwenda uvinza - dakika 30 dogo kazama chumvini unafikiri atakumbuka penzi lako tena?

ha ha ha --

"usitumie njia moja nenda rudi toka capetown mpaka Cairo, wakati mwingine ntoe uende naye mahali pageni kabisa muwe peke yenu undabadue mpaka aseme uuuuwiii!..... ntamu hivoeeeh? ......Simpi tena Johniiiii"

ushauri mzuri -- steps

1. Mnunulie zawadi nzuri ambayo ataipenda - yaweza kuwa simu au hata nguo
2. Mwambie mtoke nyie tu - watoto wabaki na dada - Tarehe zake ziwe za ovulation
3. Hakikisha nguvu zako za kiume siku hiyo zipo sawa - tafuta boster kama unaona zipo hafifu
4. Pateni chakula kizuri - kama anatumia wine basi mchagulie ile classic mkifika kwenye hotel walau ya hadhi ya 60k hivi
5. Wakati mnapata viburudisho & Lunch mwonyeshe mnampenda - macho ya mahaba tu yanatosha - ataanza kulowana taratibu kule down & pia ataanza kukuonea aibu kwa mbali
6. Muombe mkapumzike kidogo ili jioni mtoke kwenye dinner - hapo mzee sasa nenda ukafanye ufundi wako wote
7. Mkiwa mmesimama chumbani Hakikisha unamkumbatia - unamshika sehemu zinazonyegesha - kabla ya kuvua nguo - utasikia akihema huku akiishiwa nguvu ya miguu
8. Taratibu anza kuchonjoa nguo zake, moja baada ya nyingine - wakati dude lako lipo tayari kwa maangamizi
9. Usitumie nguvu kupeleka ndani, weka taratibu mpe kichwa kwanza- utaona anaanza kuifuata mwenyewe - huku akiguna guna -
10. Siku hiyo jitese weye, so usiwe na pupa ya kukojoa we peleka mdogo mdogo hadi usikie yeye anahema huku akipiga mikono yake kulia na kushoto - hapo jua sasa utamu umemkolea - ataanza kulia lia kwa sauti ya mahaba kama mdau alivyokueleza hapo juu

Muda huo sasa utumia kwa busara anza na wewe kumpa mahaba huku ukimwambia unampenda kwa nini hakupi mara kwa mara - sasa utasikia maneno mengi- huu wakati anaweza hata kuropoka kwamba "simpi tena john" ha ha ha

11. Anapokaribia kukojoa, ingiza dude fresh sehemu inayotakiwa - jitahidi kuliegesha ili liwe linasugua taratibu kwenye kinembe wakati inapita ndani na nje

13. Unaweza kia kutumia kidole kuchezea kisimi taratibu wakati huo kapagawa hajielewi - ukiona anaanza kukojoa basi na wewe jitahidi muda huo huo ukojoe naye (uwe mtu wa timing)

14 Inategemea na mwanamke, wengine wanakuwa kama wamepigwa shoti ya umeme, wengine wanakoroma kama ngombe, wengine wanaita yesu yesu, mwingine atakuita jina lako, sasa hapo na wewe mzee mzima jitahidi kumalizia kwa syte yako.

15. Baada ya hapo, mpe seconds kama 10 anza kutoa mtarimbo taratibu - mwangalie kama sec tano mpe busu zito, kisha jilaze pembeni yake - hapo atapitiwa na usingizi, mwache apumzike usimsumbue.

16. Akishtuka baada ya lisa limoja au mawili basi heshima ya ndoa itakuwa imesharudi - ogeni pamoja kisha tokeni nje ili kupata upepo, vivywaji, dinner nk - usiku lazima atakupa tena, we tumia ujuzi ule ule ila safari hii jaribu kwenda uvinza ili ukate mzizi wa fitna kabisa - HATOKI TENA huu ndiyo muarobaini wa mke msumbufu.
 
Pole sana.
Ila sie ndo tulivyo mara tupatapo mtu anaetukuna zaidi ya waume zetu.
Kiufupi huyo mkeo ana mwanaume nje anaemtia jeuri.
Chunguza lazima utagundua tu.

Ila kwanini ulalame kwa ajili ya mwanamke mmoja tu...mbona wanawake wamejaa!
Mtingishe kwanza kama hujaona akichambia steelwire wiki.

Habari ndio hiyo,
ushahuri wangu MRUDISHE KWAO kwa WAZAZI wake na hiyo bishara Funga ,Ili uhone hiko kidume kinachompa jeuri kweli kina muweza?
 
aaah...aaaaah..Kutoka na mwanaume mwingine siwezi kukataa(yeye na roho yake) Lakini kwa mazingira ya sasa hata angekuwa naye ..basi watakuwa wanakutana mara moja kwa mwezi..( sasa hii haiwezi kuondoa hamu ya kufanya mapenzi na mumwewe walau mara moja kwa wiki) Yaani nisipo mkazia msuri hawezi hata siku moja akasikia nyege za kungonoka na mimi..(Ni mpaka niseme Leo Lazima,baada ya hata mwezi kupita bila kuona dalili za kunitaka..!(

NDUGU Mjini CHUO KIKUUU wacha kujiaminisha, fanya Uchunguzi tafadhali.
 
Naomba msaada wa kuinusuru ndoa yangu(Naona ipo ukingoni.

Mimi ni baba mwenye watoto wawili(7 & 4) Nipo kwenye ndoa mwaka wa 8 sasa.

Nimeanza kupata matatizo na mke wangu yapata mwaka sasa kuhusiana na TENDO Zima la mchezo wa kitandani.

Kwakweli nimeshindwa hata kumuelewa,ANANIKATALIA kufanya mapenzi kwa visingizio kibao (Mara anasikia usingizi sana,mara hajisikii,mara amechoka sana).

Yaani ndani ya huu mwaka sijawahi kufanya naye mapenzi kwa ridhaa yake bila kumlazimisha kwa nguvu.

Yaani imefika wakati nika amua kumsaidia kazi zote za nyumbani (Kufua kupika na kadhalika) Ili mradi akifika nyumbani asifanye kazi yoyote ya kumchosha..LAIKINI haija saidia kitu.

ANASEMA HANA HAMU KABISA HATA MWAKA UNAWEZA KUPITA BILA KUFANYA MAPENZI (WALA HAONI TAABU).

Mwanzoni alikuwa akifanya kazi mjini (Akiondoka alfajiri na kurudi Jioni sana)..Sasa nimemfungulia salon hapa hapa maeneo ya nyumbani(Yote hiyo ni kujaribu kumpunguzia uchovu anosema ndio unamfanya akose HAMU.. Lakini haijasaidia kitu.

Kusema ukweli hii hali imenichanganya sana ( Mimi si mtu wa kutoka wala sijawazia jambo hilo) Lakini nitaishije bila kupata haki yangu ya ndoa na mke ninaye?

JAMANI NAOMBA USHAURI HATA KAMA NI WA KITABIBU : MAAANA HATA KAMA ANATEMBEA NA MTU MWINGINE (HATEMBEI NAYE KILA SIKU) LAZIMA KUNA SABABU ZA KIAFYA ZINAZOMFANYA HAKOSE HAMU.

pole sana mkuu,,,,,,,,,,

kwa mwanamke eti kukaa mwaka bila kutiwa hiyo ni ndoto za mchana kwenda mwezini............

1. umeshamboa namna ya ufanyaji wako , kwani wanawake wanapenda sana kuto.mbwa hata zaidi ya sisi wanaume tunavyopenda kutomba .... ila wao ni kama tu kitombo vhako kinamkuna barabara.

2. kunauwezekano ameshapata anayemkunja/kuna/garagaza vizuri sana kiasi akikuangalia wewe anaona kama kichekesho.

3. mchunguzi kimya kimya , ila uwe tayari kwa matokeo ya kutisha na kufanya maamuzi magumu yasiyokuletea madhara.
 
Pole sana.
Ila sie ndo tulivyo mara tupatapo mtu anaetukuna zaidi ya waume zetu.
Kiufupi huyo mkeo ana mwanaume nje anaemtia jeuri.
Chunguza lazima utagundua tu.

Ila kwanini ulalame kwa ajili ya mwanamke mmoja tu...mbona wanawake wamejaa!
Mtingishe kwanza kama hujaona akichambia steelwire wiki.
Madame Ujue na wewe pia ni muhusika wa hapo kwenye bold.
Jamaa ana matatizo makubwa ,ila iweje hata kama kuna amkunae asiwe na hamu hata siku moja wakati yupo na mumewe?Ila Ushauri wako ni mzuri bila ushindani (demu wa kando) uyo bi-dada ataendelea kumnyanyasa.Tafakari chukua hatua...
 
Back
Top Bottom