Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
helo my dears ..kwanza naombeni niombe radhi kwa wanaume wote kuhusu ile thread ya boxer..naona wengi mlinimind hadi pm eti nimewadhalilisha. ila yule jamaa alivaa chupi mbaya jamani acheni hizo..ila am sory nisameheni tu bure.ila mvae chupi nzuri!
back to topic mi bana kuna jamaa yangu niliachana nae long time sana ..ni mpenzi wangu wa kwanza.nilikuwa kweli nampenda saaaana .nilimuheshimu nilimthamini ila ndo hivo haikuwa riziki.since nimeachana nae ni miaka almost sita sasa.
mara ya mwisho kabisa kuwasiliana ile kishkaji ni 2011 alipooa.since then nilimtoa kwenye kichwa changu kabisaaa,,no calls ,no sms ..no mail to me ni kama hata hayupo duniani.
honestly mimi sio mtu wa kuamini ndoto saana ..mimi nikiota nimeota!
nina kama wiki mbili sasa kila siku namuota huyu mbuzi ..kila siku namuona kwenye ndoto zangu.basio nikamwambia dada mmoja wa maombi .akaniambia ina maana kwamba nitapata au kama nina mpenzi ambae kwake yatanikuta yaleyale ya huyo jamaa wa mwanzoni.
sasa nikikumbuka yule jamaa...mistreatment..dissapointment na kibuti mmmh!
sijui ni kweli sijui lakini ...ila nimemuachia tu Mungu lakini...nawaogopa wanaume kama hiv sasa!