Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,130
Turejee ya kale kwa babu zetu,enzi za zama za chuma(iron age) wanawake hawakuruhusiwa kabisa kupita karibu na wafua vyuma(iron smith) mana wangesababisha wanaume wafua vyuma wasiwe makini na kazi na hata kusababisha ajali.
Sasa maisha ni tofauti na hizi ni zama za computer.
Wanawake waneenda maeneo ya kazi na hata kuzifanya kazi,je uwepo wa wanawake kazini hauleti madhara ambayo wazee wa kale waliyatazamia kwa wanaume katika umakini na utendaji kazi wao???Leo kwa mfano imebainika baada ya kesi inayomkabili kapteni kuwa ile meli ya kifahari ya costa concordia ilizama baada ya kugonga mwamba kutokana na kapteni wa meli ile kuwa katika hali ya mahaba na mpenzi wake wakipeana mabusu mototo kwenye daraja la meli(hapo alisahau kabisa kazi yake),ile ajali ya treni majuzi huko japani nayo ilibainika kusababishwa na dereva alipokuwa anaongea na mpenzi wake kwenye simu,je haya ndo mababu zetu hawakuyataka??