Natafuta Mke wa kuoa. Mimi sichagui umri wala umbo wala sura. Natafuta mke wa kuoa. Ukitaka kujua Wasifu wangu ni PM ntakutumia hadi picha. Nipo serious sana kwa hili. Naimani mke wangu wa kufa na...
Je kwa kipindi cha mwanzoni (within 3 weeks) ni kipi kinaumiza sana moyo kati ya:
Kuachwa na unayempenda kwa dhati kabisa kutoka moyoni na ukawa na malengo/matarajio naye na hata baada ya...
Nimeikuta sehemu hii.
Vijana hebu jifunzeni, mzazi alokuzaa anastahili kuishi mahala pazuri kama wewe una uwezo! Acheni ujinga wa kununua altezza, kutanua kwenye majumba ya starehe wiki nzima...
Habari zenu wakuu, natarajia kuwa dar october5 for two weeks. mi si mwenyeji huko yan hata ikitokea natupwa posta jua napotea kabisa!!!!!
Natafuta aliye tayari kunipa company yani kunishika...
Dushele,Mbunya na Simu kipi ni cha Siri sana?maana mimi nashangaa watu wanaziweka simu zao Pin mpaka kwenye SMS lakini usiku Dushele zao au Mbunya zao wanaziacha wazi na kila mtu (wapenzi hawa)...
Habar zenu wanaJF polen na majukumu ya kikaz.....mm ni bint ambae nilikuwa na mahusiano yakimapenz na kaka mmoja ambyi yalidumu kwa miaka 3 ss lkn ktk kipnd cha mahusiano siku moja ilitokea kwamba...
1. "I have this mouth fungus."
2. "But my cats watching." See her, over there in the corner? Her green eyes glowing in the darkness? Whenever she sees me going down on a guy she gets really...
jamani waalimu tunawachukulia kama walezi wenzetu wa upande wa pili baada ya wazazi halisi!!
sasa inakuwaje wanawaadhibu watoto wetu kama vile wanaua nyoka?
Wadau,
Hii nimekutana nayo Julius Nyerere International Airport TERMINAL ONE,ambapo kuna m-baba mmoja mtu wa makamo hivi ambaye ana kijikampuni cha huduma za usafiri wa anga.
Kwa taarifa...
Habari zenu wana-Jamvi,.
Nina mpenzi wangu ambaye anaishi Dar, tumekaa kwenye mahusiano takriban miezi nane sasa bila kukorofisana kwa namna yoyote ile,.
Kwa sasa mimi nipo mkoani...
Naombeni kujua muda sahihi wa kukaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa..
Maana huwa nashangaa kusikia nimekaa na mpenzi wangu miaka 6..7.. Hadi nane sijui blah blah nyiingi..
Mimi nikitongozana na mtu...
Wakubwa zangu shikamooni,wadogo zangu marahabani na wa rika langu mambo zenu habari zenu,mi ni mzima namshukuru Mungu mwenye mwingi wa fadhili.
Leo ninalo hili lakuongelea,lakini kabla...
Mimi nina degree moja ila nimeolewa na mtu ambaye ana elimu ya msingi na hana shughuli yoyoye anayojishughulisha hata nimuelimishe vipi kuhusu biashara au kuhusu kwenda kujiendeleza hataki yeye...
Kati ya mwanamke msomi na asiye msomi yupi sahihi kumuoa.
Kwakweli mimi naona ni heri mwanamke asiyesoma hawa waliosoma ni wasumbufu sana na wanajifanya wanajuwa kila kitu na ndio maana hata ndoa...
The lady in the picture was chased out of one of the city churches because of indecent clothing. The pastor further sited that , the lady was really making him lose concentration while...
Mzee mmoja alianza hofia kuwa yawezekana mkewe kaanza matatizo ya kutosikia vizuri.Hivyo ikambidi amtafute daktari wa familia na kumsimulia mkasa mzima.
Baada ya daktari kumsikiliza yule mme...
Jana wakati niko na wadau tunapata kamvinyo ulitokea mjadala mkali. Nimeona niwasilishe jamvini labda naweza pata ufumbuzi manake pale hatukufikia muafaka.
Inasemekana mwanamke anapomegwa kwa...
Habari zenu wanajukwaa hili ,
Nilipotea muda nilikula ban ya kimagumashi,
Tuachane na hayo hivi jamani kauchunguzi nilikokafanya kasio rasmi nimeona vijana wengi wa kiume wakiwa na gari za ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.