Hebu vuta picha unaweka ahadi na demu au mpenzi wako mkutane.hamba simu.usiku giza no umeme.unakaa unasubiri wee kumbe mwenzako katumwa wilaya ya pili mpaka ujue usha choma maindi kwa tochi..........ila sasa ni mwendo wa fb.wsap.twttr.cmu......ila wazee wanadai mapenzi yao ya kweli kwa sababu walianza jua mapenzi kwenye ndoa.mi yangu hayo tuchangie mawazo yetu:thumbup: