kabila gani?

kabila gani?

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
314
habarini wapendwa.....

leo ningependa kujua WANAUME wa kabila gani wanajua mambo kunako 6*6,......na wanaume wa kabila gani HAWAJUI/WABOVU kitandani....................manake kwa wanawake ,wanawake wa kitanga wanajulikana kwa mahaba na wachaga ni wabovu,haya tupeni upande wa pili akina adamu wakoje...:tonguez:
 
Hivi hizi sredi huwa zina umuhimu gani? labda mwenzenu miye ni mshamba naomba nijibiwe...
 
sioni!! sioni umuhimu wake!!! sasa ukishakata kata kiuno kwa 6/6 ndio utakuza uchumi wako ama?
 
kama hujapenda si upotezee,kuna ulazima wa kujibu kila topic????
 
habarini wapendwa.....

leo ningependa kujua WANAUME wa kabila gani wanajua mambo kunako 6*6,......na wanaume wa kabila gani HAWAJUI/WABOVU kitandani....................manake kwa wanawake ,wanawake wa kitanga wanajulikana kwa mahaba na wachaga ni wabovu,haya tupeni upande wa pili akina adamu wakoje...:tonguez:

hivi jamani nini maana ya jf senior expert member? Siku hizi mjue kuna watoto wanapita sana humu!!
 
sioni!! sioni umuhimu wake!!! sasa ukishakata kata kiuno kwa 6/6 ndio utakuza uchumi wako ama?

mnh kuna jukwaa la uchumi hapo juu hujaliona???nendeni huko,mtuache sie wakata viuno tulale....
 
wako kwako kabila gani ?na yupo je kitandani?
 
sijui kabila gani ila mimi niko poa sana kama huamini naweza kukuhakikishia hilo.
Nalog off
 
Huyo aliyekwambia wanawake wa kichaga wabovu si kweli tunajua mambo .................Wanaume wa kichaga watamu sana na wanajua mambo mno wewe dont try this
 
Wanaume wakichaga watamu kwenye huduma ya m-pesa
 
habarini wapendwa.....

leo ningependa kujua WANAUME wa kabila gani wanajua mambo kunako 6*6,......na wanaume wa kabila gani HAWAJUI/WABOVU kitandani....................manake kwa wanawake ,wanawake wa kitanga wanajulikana kwa mahaba na wachaga ni wabovu,haya tupeni upande wa pili akina adamu wakoje...:tonguez:

Wakinga. Wahaya. Wanyamwezi. Waluguru. Wajita. Wamakonde. Muha. Msambaaa mkikiri mpobolo. Mkididi. Mkisi mpunguchu.
 
Mwanaume wa kindengereko ni hatareeeee,

Wabovu ni watani zangu wazaramo
 
kama hujapenda si upotezee,kuna ulazima wa kujibu kila topic????

Kama una ufahamu mzuri wa JF nadhani unajua vyema sredi kama hii inatakiwa ianzishwe jukwaa gani...

Hapa ni MMU, hizi mambo zenu za kudinyana mara sijui tigo inawasha zina jukwaa lake huko huwa mnaliita sijui jukwaa la wakubwa...

Wewe kama mumeo au bwana wako hajui kukatika nenda gereji ya wachina afungwe motor labda itamsaidia.

Nina uhakika hata ukielezwa kuwa kabila fulani ndio wanaume wao wanajua kukatika haitasaidia kitu, hakuna mtu mwenye uwezo wa kubadili kabila lake.
 
Back
Top Bottom