thehunk
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 533
- 233
jamani kama mjuavyo nyumba nyingi za kupanga zilizo huku uswahilini vyoo na
mabafu ni vya kushare yani unakuta nyumba ina vyumba kumi na mbili ila choo
na bafu ni kimoja manake mtashare na mbaya zaidi ukute kila chumba kina familia
. sasa kuna hili mume na mke kwenda kuoga kwa pamoja bafuni sijui mnaingoleaje
hili wadau toa comments zako, chochote unachoweza sema juu ya hili.
kwangu mimi maoni yangu ni kuwa kuna baadhi ya mahaba kuonesheana inabidi
muwe na nafasi pia. mfano kwa wanandoa wenye watoto wakubwa sitegemei
wakugegedana sitting room kwani saa na dakika yeyote ile watoto wanawezaku
tokea na ikawa dhahama tena . sijui wadau mnasemaje juu ya hili.