Ni baada ya kuona dalili kuwa muda wa kuoa umekaribia, ni lazima kutoa vitu visivyohitajika kwa mwenzangu au vile vitu vyenye kukera pale mtarajiwa atakapoingia ndani, hivyo basi nimeanza kupekua...
Habari Zeeennuu wana MMU. Week iliyopita nilikutana na kabinti hivi cha kanda ya ziwa kazuri balaa. Sikufanya ajizi nikaanzisha mastory end of mastory akanipatia namba yake ya simu. Nilikuwa...
jipime kulingana na uhusiano wako na mpenzi wako kipindi cha nyuma na kipindi cha sasa!!
ulimjali kiasi gani?? ugomvi wenu wa hapa na pale ulishusha 'performance' kiasi gani??
ulifanya lipi...
MCHUMBA WAKO ANAITWA NANI???
0. JACQ => Huwa ni Mapepe hawajatulia...
1. PATRICIA => wote ni wapole but hupewa
mimba ovyo ovyo...
2. DAMARI => wote huwa waZuri.
3. SARAH =>huwa na wanaume...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Its a mans world, that is a fact! I am not saying it is a man's world for the sake of just saying it but IT IS REAL A...
Huko Kenya wamepitisha mswada unaozuia mgawanyo sawa wa mali kati ya mwanaume na mwanamke inapotokea wameachana na kupeana talaka..je hii ni sawa wadau? Vipi kuhusu haki za mwanamke ambazo ni...
Hivi kusaidiana au kumsaidia mpnz wako wa kike ktk mahusiano au hata kwenye ndoa kufanya kazi za hapa na pale wakati ukiwa na nafasi yakufanya hivyo ni vibaya?
Mwanzoni nilifikiria labda mimi ni mshamba....lakini siku zinavyozidi kwenda nashukuru sana uamuzi wangu na familia yangu wa kukaa mbali na hizo sosho netiweki. Hivi kuna faida zozote za kuweka...
Umewahi kukuta SMS ya mapenzi kwenye simu ya mpenzi wako akimtumia mtu mwingine tofauti na wewe? Ulijisikiaje uliposikia mtu mwingine akiitwa majina mazuri ya kimapenzi na mpenzi wako, pengine...
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mazungumzo yanayoonyesha kuwa walimu wamekuwa watu wenye nafasi kubwa sana ya kuolewa kuliko wanawake walioko kwenye nafasi nyingine za ajira. Kimsingi...
Kama kufunga ndoa ni kuwa mwili mmoja?kwanini nakala ya vyeti hapa kwetu hutolewa mbili,nimefuatilia kwa wenzetu Kenya hutoa nakala moja,pia Nigeria hutoa nakala moja.Kwanini hapa kwetu hutoa...
Haya maneno walishanena wazee tangu zamaniii ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ndani, masikini roho yangu mimi we niachie nenda zako. NI KWELI ANACHOKISEMA HUYU MCHEZA KUDUKU?
Kuna rafiki yangu wa karibu, mwanamke (sio gf wangu) amekutana na mtu online na kuanzisha mahusiano. Kwa maelezo yake mahusiano hayo yana Kama miezi miwili hivi, na jamaa anaonekana kafika kwa...
habari wadau. Huyu jamaa alikuwa amesafiri kidogo. Nilienda kutubu naona kiama kimefika na sasa nimeokoka.
leo nina swali moja tu. je kati ya pua na masikio ipi inafanya miwani isidondoke? Ev...
kuna tabia ya sisi mabinti siku hzi mmmh... so nzuri kwa kweli.binti akitongozwa na mkaka yaan anakuwa fasta kumuuliza haya maswal et una gari? una nyumba? unafanya kazi wapi? wakat huo yeye...
Natafuta mke wa kuoa,awe mwalimu shule msingi au secondary,dini mkristo,,awe mwenyeji wa Mbeya..mcha Mungu.urefu kuanzia ft 5.4 na kuendelea.na asiwe mnene sanaaaa"! Call 0787996401
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.