Wanawake na uvaaji wa suruali chanzo cha uasherati!!!

Wanawake na uvaaji wa suruali chanzo cha uasherati!!!

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
952
Reaction score
1,050
Surumademu.jpg


#Majanga ,
Naomba nifunguke kidogo.
Huko nyuma kuanzia miaka ya 1990 masuala ya uasherati yalikuwa katika kiwango cha chini sana tofauti na sasa ambapo rate ya uasherati imepamba moto sana! Nimekuwa nikijiuliza nini chanzo cha hali hii?

Katika observation yangu ya kawaida nimegundua kuwa uvaaji wa suruali kwa wanawake unaongeza matamanio ya zinaa/ngono kwa mwanaume. Mara nyingi wanawake waliovaa suruali kama za jinsi, na vile vitambaa vyepesi hushawishi tendo la ngono bila kuangalia umri!

Hiki ni chanzo cha ongezeko la uasherati ambacho kinakadiriwa kuwa kati ya asilimia 45% mpaka 65%.

Mwanamke anayejiheshimu na kujistri kwa heshima hawezi kuvaa suruali itakayomfanya mwanaume avutike kufanya naye mapenzi kwani kwa kufanya hivyo atakuwa anajitafutia kutongozwa na wanaume wengi ndiyo maana wanawake wanasemwa kuwa ndiyo waliosababisha uasherati kuongezeka na siyo wanaume!
 
Mmmmh! kunakaukweli humo na jinsi siku zinavyozidi kusonga hizo suruali zinazidi kuwa tait na siku hizi wanavaaga za kulalia!
 
I dont know if it is fashion or wat, ila wanapendeza machoni mwa wengi dats Y wanaendelea kuvaa, na viwanda vinazid kutema toleo jipya la kila leo
 
mh amna kabisa ngono imeongezeka kutokana na hilo jambo kufanywa na wengi kama party ya starehe na si suruali,,,
 
si kweli mbona miaka ya themanini kurudi nyuma walivaa hizo suruali? sema tofauti za miaka hiyo hazikubana ila siku hizi tunavaa zaidi nguo za kulalia.
 
kunanyngne hazitamanish bana
 
Aah wapi we sema men wa kizazi hiki have no scruples at all

Ukimwona alovaa hijabu, suruali, kimini ilimradi ashaitwa ni mwananke mnawaza tu umpateje ili ungoneke
 
Suruali na uasherati!...mmmnhhh!
Tukubali tu tumezaliwa tufanye ngono..period!
Bila mwanaume , mwanamke hawi muasherati bana..
 
Kuna mmoja aliniambia akivaa suruali anajisikia more confortable!
Hii ni kweli?
 
We mdada kajivalia kisuruali chake mitamaa yako unakurupuka kumtongoza halafu unasema amechangia uasherati wote hapa tuna husika kwa sababu mwanaume huwezi kuwa mwasherati bila mwanamke, na sababu sio lazima iwe suruali.
Hapa tunatafuta tu naamna ya kuhalalisha suari iwe kisingizio wakati nyoyo zetu zimejawa na tamaa tupu.
 
mh amna kabisa ngono imeongezeka kutokana na hilo jambo kufanywa na wengi kama party ya starehe na si suruali,,,
I hope wewe sio mvaaji wa suruali hizo, kumbuka tuna safari ya Kilimanjaro
 
jamani kuongezeka kwa ngono ni moja ya maendeleo. wanadamu wanaongezeka kila siku kwa nini ngono isiongezeke? au ulitegemea ktk watu 200 wafanye ngono wawili
 
Back
Top Bottom