Ahahaha nina mtu..,.

Ahahaha nina mtu..,.

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
950
Reaction score
1,050
Warembo mpoooo??
Leo nimekumbuka mbali kidogo miaka ile ya nyuma mlikuwa mkitongozwa mnasema " nina mtu" au " acha nijifikirie maana nina mtu" hizi kauli saivi zimeishia wapi??? hahahahahaha nasikia mpaka mnaandamana hahahah.

Inasemekana wale wajanja waliokuwa na kauli nzuri walijipatia bwana zao wakaolewa mapemaa, saivi wanakula mafuta tu haya sasa mliokuwa mnasema mnabwana ameenda wapi tena? kuleni jeuri ya vinywa vyenu.
 
Sasa ndio umeanzisha mada gani hapa? kama huna cha kuandika nyamaza kimya. tulia kabisa. soma michango ya wenzako. usitupotezee muda wetu.

Warembo mpoooo??
Leo nimekumbuka mbali kidogo miaka ile ya nyuma mlikuwa mkitongozwa mnasema " nina mtu" au " acha nijifikirie maana nina mtu" hizi kauli saivi zimeishia wapi??? hahahahahaha nasikia mpaka mnaandamana hahahah.

Inasemekana wale wajanja waliokuwa na kauli nzuri walijipatia bwana zao wakaolewa mapemaa, saivi wanakula mafuta tu haya sasa mliokuwa mnasema mnabwana ameenda wapi tena? kuleni jeuri ya vinywa vyenu.

Sijaelewa una nia gani kwa kuwaandikia hao warembo uzi huu, kwamba unawazodoa kwa kukutalia au unawacheka kwa kukosa watu wa kuolewa nao kwa sasa? Ulitegemea wajibu nini kama kipindi hiko kweli walikuwa na watu? Wamkubali kila mtu waitwa malaya na wasiolewa au watunze heshima zao na kuwafanyia uchunguzi hao waliowatongoza?

Kosa lao ni kuachwa au kosa lao hasa nini? Msimamo wao? Wewe binafsi haujawahi kuwa na girlfriend na baadaye kuachana kwa sababu yeyote ile? Kipindi hiki msimamo wako juu ya wasichana wengine ulikuwaje? Ulikuwa unaendelea kutongoza kila msichana au kumkubalia kila msichana aliyejileta kwako?

Sijaipenda hii ....
 
Sijaelewa una nia gani kwa kuwaandikia hao warembo uzi huu, kwamba unawazodoa kwa kukutalia au unawacheka kwa kukosa watu wa kuolewa nao kwa sasa? Ulitegemea wajibu nini kama kipindi hiko kweli walikuwa na watu? Wamkubali kila mtu waitwa malaya na wasiolewa au watunzi heshima zao na kuwafanyia uchunguzi hao waliowatongoza?

Kosa lao ni kuachwa au kosa lao hasa nini? Msimamo wao? Wewe binafsi haujawahi kuwa na girlfriend na baadaye kuachana kwa sababu yeyote ile? Kipindi hiki msimamo wako juu ya wasichana wengine ulikuaje? Ulikuwa unaendelea kutongoza kila mtu?

Sijaipenda hii ....

Daaaah nimekuheshim sana kwa hili, ubarikiwe mnoo!
 
well said
Sijaelewa una nia gani kwa kuwaandikia hao warembo uzi huu, kwamba unawazodoa kwa kukutalia au unawacheka kwa kukosa watu wa kuolewa nao kwa sasa? Ulitegemea wajibu nini kama kipindi hiko kweli walikuwa na watu? Wamkubali kila mtu waitwa malaya na wasiolewa au watunze heshima zao na kuwafanyia uchunguzi hao waliowatongoza?

Kosa lao ni kuachwa au kosa lao hasa nini? Msimamo wao? Wewe binafsi haujawahi kuwa na girlfriend na baadaye kuachana kwa sababu yeyote ile? Kipindi hiki msimamo wako juu ya wasichana wengine ulikuwaje? Ulikuwa unaendelea kutongoza kila msichana au kumkubalia kila msichana aliyejileta kwako?

Sijaipenda hii ....
 
HINT:
Mwanamke akisema kuwa ana mtu kisha akaja kunikubalia thamani yake hushuka abruptly, kwa kuwa mwanaume utakuwa unadhani umemnyang'anya mwanaume mwenzio,,, hivyo kuwa na hofu kuwa siku yako ikifika na wewe utanyang'anywa. Hence kutokuwa na imani na mwanamke wa hivyo.... Wale wanaosema wako single from the beginning ni rahisi kuwajengea imani hata kama walikudanganya kuliko anayetunga uongo kuwa ana mtu..
 
jaman changieni..........na kama .mnaona kaongea pumba piteni kimya kimya na sio kumzodoa!!
 
Back
Top Bottom