Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana MMU, Ni kwa nini baadhi ya wanawake wana tabia ya kupekua pekua kwa siri Wallet au mifuko ya suruali ya waume zao wanapokuwa wamerudi toka kazini au safarini? Mara nyingi huutumia muda ambao...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Mke wangu hapendi kutatua matatizo zaidi ya kutaka kujiua, ni kama mara ya tano anatishia kujiua kisa ni kwamba akifanya kosa nikimwuliza hua hajui kuomba msamaha zaidi ya kuchukua maamuzi ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
sijui ni uhaba wa sehemu za kuanikia(chumba kimoja familia)? au ndo utamaduni wa kizamani kwamba chupi yako asiione mtu akina dada wengi wamekua wahanga wa chupi zao aidha kubadilika kwa rangi ya...
1 Reactions
57 Replies
20K Views
heshima mbele wajameni ,niko kwenye pozi la furaha baada ya wife kujifungua mtoto wangu wa kwanza ..baby Dominick...nimeona nishare nanyi huu wakati wa furaha na baraka.Nawatakia kila la heri...
13 Reactions
70 Replies
5K Views
Wana mmu habari za mchana mwenzenu naumwa toka ijumaa malaria kali imenikamata nimeanza kupata nafuu jana asante kwa man u kushinda na kanafuu kakaanza,nisiwachoshe sana niwatakie mchana mwema...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna mrembo mmoja alikuwa ni mpenzi wangu tukaja kuachana kutokana na mambo zake za tamaa tu. Ni mwezi wa 4 sasa toka tuachane na tukawa tumekata mawasliano kabisa kila mtu na 50 zake. Cha ajabu...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kwa mfano Ndoa inapotimiza mwaka mmoja hapa ndipo kinapozuka kitimtim na wanandoa wasipokuwa makini ndoa yao huwaponyoka na kuja kujuta baadae, lakini pia miaka mingine inayotajwa ni pale ndoa...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Kule twitter kuna jamaa kaandka kuwa kila basi kutoka tanga kwenda dar lazima liwe na abiria angalau wawili ambao ni shoga na mganga. Je watu wa tanga ni kweli kuhusu hyo statement?
1 Reactions
84 Replies
10K Views
nina mchumba ambae ana graduate jumamosi hii ya keshokutwa,kikubwa najiuliza ni zawadi gani ninunue itamfurahisha mpenzi wangu ambae atakua mke wangu soon na ataithamini? Nimekua siku zote shallow...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Hababri za leo wadau wa jamii forum, kuna jambo moja limenisikitisha sana, katika nyumba ninayoishi jirani kuna kijana mmoja ambaye ni mpangaji, ni bachela (single), huwa na kawaida ya kuingiza...
0 Reactions
63 Replies
10K Views
Habari za jion wapendwa! Natafuta marafiki toka mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla..umri 21-30..jinsia yangu ni ME.. Ni PM kwa maelezo zaidi
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau MMU, Napenda kushare nanyi hili jambo na lichukuliwe kama ushauri na ONYO. Stori yenyewe ipo hivi kuna watu wengi sana wanapoanza uhusiano wa kimapenzi huwa wakini kwenye kutumia KINGA aka...
8 Reactions
91 Replies
12K Views
Wapendwa, nakerwa sana na wanawake wasiopenda kutimiziwa na wanaume. Utakuta wanawake wanajitia wenyewe michuchu ya kichina na wengine wao kwa wao wananyonyana k zao na kutiana vidole. Hapa...
0 Reactions
42 Replies
14K Views
Salaaaaaa wana MMU Miss you all much much!!! Narejea hapo juu!!! Nimekuwa katika mahusiano kwa takribani miaka kadhaa sasa!!!! Ila sijaona nilicho faidika na haya mahusiano zaidi ya kurudishwa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Hili halina ubishi kama unabisha njoo ubishe kwa hoja. Kama unampenda mmeo / mkeo kwanini uzuie simu yako isiguswe?Kama si umalaya ni nini? Wengi wanazuia simu zao zisiguswe ili sms za wapenzi...
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Kuna kitu nimekiona ambacho kinanifanya niamini kuwa wanawake wengi(sio wote) hawafahamu nini wanaume wanakitaka kwao,licha ya kujitahidi kufanya vitu tofauti tofauti ili kumvutia mwanaume! Hii ni...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Salaam wakuu, for a longtime now nimekua najiuliza sana hili swala, kwamba why on earth players (wanaume mambo mengi) always get hot chicks na pia sometimes wanawake wanakua wanajua kabisa jamaa...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Habari wana MMU, Nadhani mtakubaliana na mimi kwamba wanawake wasio na akili timamu wanaongoza katika suala zima la uzazi holela. Kuna wamama hapa mjini vichaa, yaani after 2 years ukimkuta hana...
2 Reactions
89 Replies
11K Views
Ndugu wadau kuna kisa cha ukweli kimemkuta rafiki yangu..,juzi kati hapa baada ya mahangaiko ya kutafuta ridhiki akaaamua kupoteza muda kidogo kwa kupata moja barid moja moto pale kona bar(huyu...
0 Reactions
46 Replies
9K Views
Nimesoma post ya yule dada ambaye akinyonyesha ana cum imenikumbusha kitu kilinitokea miaka mingi sana iliyopita Miaka ya nyuma sana wakati nasoma kidato cha nne niliwahi kukutwa na tatizo ambalo...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Back
Top Bottom