thadey makusilo
Member
- Oct 31, 2013
- 46
- 11
Mambo vp wana JF,
Mwaka 2008,nikiwa kidato cha sita ilitokea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana mmoja aliyekuwa kidato cha tano,tulipendana sana na kuweka maazimio mbalimbali yakiwemo ya kuishi pamoja kama mme na mke,mpenzi wangu huyu alimfahamisha mama yake kwa kuwa alikuwa naye karibu lakn vilvle baba yake alishatangulia mbele ya haki,lakini mama yake alimkataza kwa sabab ya dini kwa kuwa mi mkrsto na yeye muislam.
Kwa kuwa nilikuwa naelekea mwisho wa masomo nikaona isiwe tabu nikimaliza shule iwe mwisho wetu kwani sikuona umuhimu tena kwa kuwa sikuwa na future naye,hivyo tulipotezana katika mawasiliano, lakini amepata mawasiliano yangu zaidi ya miezi sita sasa na anasema bado ananipenda na mama yake amemruhusu kuolewa nami bila hivyo atajidhuru,
Tatizo linakuja nimeshapata msichana mwingine ambaye nimeshazaa naye na nafikiria kufunga naye ndoa,
Wadau hapa nifanyaje?naomba mawazo yenu...