JF Ladies....Arusha Wing...DINNER....

JF Ladies....Arusha Wing...DINNER....

Status
Not open for further replies.

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,887
Kama kichwa cha habari kinavyosema........nimewaza kwa nguvu........nia na dhumuni ni kusocialize.....YES.....
Kama wanawake........tunahitajiana kwa njia moja au nyingine.......katika maswala mbalimbali.......kwa hiyo......nimeonelea....nilete wazo hili kwenu ili tulichambulie hapa hapa.....tupeane mawazo hapa hapa......na tuamue hapa hapa.......nyie mnaonaje.......?
Ipo hivi.......wazo ni kukutana kwa dinner mahali tutakapochagua.....tarehe tutakayo taka....lakini mwezi ni December.......tuzungumze mambo yetu......wenye biashara waziweke mezani.......wenye kuhitaji ideas......tubadilishane mawili matatu......wengine wanataka kuwa wajasiriamali.......tuoneshane fursa zilizopo katika hilo.....huna kazi......labda kuna anayejua mahali palipo na kazi akakusaidia.......na hata wengine hawajaolewa...(tuna kaka zetu hawajaoa).....cc Smile........nk..nk...nk.....

Sasa basi.......nyie wooooote mliopo Chugga na mikoa ya jirani....mnakaribishwa.....mtoe mawazo yenu.......
Binafsi nina mawazo yangu....bali nitachanganya na yenu ili tuweze kwenda sambamba.......na bila kusahau....nitasimamia show nzima ya maandalizi msiwe na wasiwasi.......

MUHIMU.....
WANAUME HAMRUHUSIWI
........msijaribu hata kuchungulia.......kama una mkeo utamdrop uchape lapa..........

Asanteni.......
 
Last edited by a moderator:
Idea nzur..ningehudhuria ila majukumu yananibana..
 
Chugga hoyeeee! nawatakia kila la kheri dada zangu, ila mabaya msiletee nyumbani.
 
Uko juu.​ila kusahau Mimi ni single- naomba unipigie promo huko
 
Yeyolai mi naomba kuwa NDIJEI eeeti.
Au mtacheza olaleyoo?
 
Na sisi ambao Mungu akipenda tutakuja kupumzika mwisho wa mwaka tunakaribishwa au ni kwa wanaoishi huko tu.
 
Halafu mkitoka hapo muanze kusengenyana...oh flani sijui 'weaving' lake liko hivi....mara 'ah yule naye anajidai'.....mara sijui nani ana shepu kama Betina...mara bibi mwafulani kakaa kama Zena.....

hilo hatutalitilia maanani sana....kwa sababu kama mtu ameweza kuingia JF basi atakuwa ameelimika......
lakini mwisho wa siku.......mwanamke atabaki kuwa mwanamke tu..........no worries.....
 
Kuingia JF ndo kuelimika? How...please explain.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema........nimewaza kwa nguvu........nia na dhumuni ni kusocialize.....YES.....
Kama wanawake........tunahitajiana kwa njia moja au nyingine.......katika maswala mbalimbali.......kwa hiyo......nimeonelea....nilete wazo hili kwenu ili tulichambulie hapa hapa.....tupeane mawazo hapa hapa......na tuamue hapa hapa.......nyie mnaonaje.......?
Ipo hivi.......wazo ni kukutana kwa dinner mahali tutakapochagua.....tarehe tutakayo taka....lakini mwezi ni December.......tuzungumze mambo yetu......wenye biashara waziweke mezani.......wenye kuhitaji ideas......tubadilishane mawili matatu......wengine wanataka kuwa wajasiriamali.......tuoneshane fursa zilizopo katika hilo.....huna kazi......labda kuna anayejua mahali palipo na kazi akakusaidia.......na hata wengine hawajaolewa...(tuna kaka zetu hawajaoa).....cc Smile........nk..nk...nk.....

Sasa basi.......nyie wooooote mliopo Chugga na mikoa ya jirani....mnakaribishwa.....mtoe mawazo yenu.......
Binafsi nina mawazo yangu....bali nitachanganya na yenu ili tuweze kwenda sambamba.......na bila kusahau....nitasimamia show nzima ya maandalizi msiwe na wasiwasi.......

MUHIMU.....
WANAUME HAMRUHUSIWI
........msijaribu hata kuchungulia.......kama una mkeo utamdrop uchape lapa..........

Asanteni.......

Tunaomba tuwaongezee mawazo tu.mfano katika hili
'na hata wengine hawajaolewa...(tuna kaka zetu hawajaoa)'.
Kuna walioolewa lakini wanataka wa pembeni na hao muwafikirie

Mke na mume ni mwili mmoja mpaka kifo kitenganishe!!!!!!!!!!

Kwa shida na raha!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom