Mwenye kujua

Mwenye kujua

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Wana jamvi,
heri ya sikukuu ya noeli. Naomba mwenye kujua sehemu iliyotulia na yenye kama kimsitu cha asili ambapo mtu anaweza kwenda kupumzika kwa hapa mwanza. Mfano kwa arusha kuna sehemu inaitwa duluti, ngaresero n.k

nahitaji kwenda kubadilisha mazingira kidogo
 
Unapenda vichakani eee?
Nghoja waje wanaoijua Mwanza watakuelekeza.
Merry Christmas.
cc. Baba Paroko Eiyer
 
Last edited by a moderator:

sawa ndugu. Unajua vichaka vinastarehe yake hususani katika kubadilisha hali ya hewa na mazingira. Siyo kila siku unaenda mahali mazingira ni yale yale hakuna utulivu wala ustaarabu
 
Last edited by a moderator:
Wana jamvi,
heri ya sikukuu ya noeli. Naomba mwenye kujua sehemu iliyotulia na yenye kama kimsitu cha asili ambapo mtu anaweza kwenda kupumzika kwa hapa mwanza. Mfano kwa arusha kuna sehemu inaitwa duluti, ngaresero n.k

nahitaji kwenda kubadilisha mazingira kidogo
mimi naifhamu Duluti sio msitu bana, na kwanini msituni unataka kujinyonga? kakae na wenzako bana
 
Amezoea vya kunyonga huyu vya kuchinja haviwezi

kwanza nitake radhi kwa hiyo kauli yako. Sijawahi mambo ya vichakani na sintakaa. Nadhani kwa wenzangu wa arusha mngetia neno kuhusu mazingira ya duluti,ngaresero au hata hatari lodge yapoje. Maana watu wengine inawezaikawa hawajui hayo mazingira yapoje na faida zake. Wanachojua ukikutana na kichaka ni kujisaidia tu. Anyway ndiyo mawazo yako yalikofikia
 
mimi naifhamu Duluti sio msitu bana, na kwanini msituni unataka kujinyonga? kakae na wenzako bana

unaifahamu duluti ipi? Je ziwa duluti limezungukwa na nini? Au liko katikati ya nini? Unaifahamu kupitia hadithi za mitaani au umeshaenda kujionea hayo mazingira. Sitaki kujinyonga ila nataka kusafisha mapafu kwa hewa safi ya asili
 
kwanza nitake radhi kwa hiyo kauli yako. Sijawahi mambo ya vichakani na sintakaa. Nadhani kwa wenzangu wa arusha mngetia neno kuhusu mazingira ya duluti,ngaresero au hata hatari lodge yapoje. Maana watu wengine inawezaikawa hawajui hayo mazingira yapoje na faida zake. Wanachojua ukikutana na kichaka ni kujisaidia tu. Anyway ndiyo mawazo yako yalikofikia

Ahya mkuu samahani sana bhana, ni mtazamo wala usiwe na wasi wasi
 
Ka vp nenda kisiwa cha saanane pako fresh. Au nenda Kisesa kwenye makumbusho ya kisukuma.
 
asante sana. Ila jumba la makumbusho la wasukuma ilikuwa zamani. Mda huu hapako poa saana
 
Wana jamvi,
heri ya sikukuu ya noeli. Naomba mwenye kujua sehemu iliyotulia na yenye kama kimsitu cha asili ambapo mtu anaweza kwenda kupumzika kwa hapa mwanza. Mfano kwa arusha kuna sehemu inaitwa duluti, ngaresero n.k

nahitaji kwenda kubadilisha mazingira kidogo

Kama unaweza nenda Mulilo Gardens kule Kenya... Paukweli
 
Back
Top Bottom