eti ni kweli wanawake weupe wana jiskia sana.....?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,461
Kuna mdada nilikua napiga nae stori aka niambia kua wanawake wengi weupe wana nyodo,pozi kwa sanaa na ukioa white skined gel jiandae kutongozewa kama sio kumegewa kwa vile wanaume wengi wanapenda madem weupe weupe(sio wa carolite).

...dizain kama kuna ukweli flani hivi kwa sababu nilikuaga na kadem flani hivi nesi mweupee alikua na nyodo.za hatari japo kua nyodo zake haziku ni affect coz nilikua namega tu kisela kuondoa ugumu....

Toa uzoefu wako na wewe kwa wanawake weupe...
 
Weupe ni nini?
Nyodo, kujisikia ni nini?

Mwisho, uwe na adabu!
 
Kuna mdada nilikua napiga nae stori aka niambia kua wanawake wengi weupe wana nyodo,pozi kwa sanaa na ukioa white skined gel jiandae kutongozewa kama sio kumegewa kwa vile wanaume wengi wanapenda madem weupe weupe(sio wa carolite).

...dizain kama kuna ukweli flani hivi kwa sababu nilikuaga na kadem flani hivi nesi mweupee alikua na nyodo.za hatari japo kua nyodo zake haziku ni affect coz nilikua namega tu kisela kuondoa ugumu....

Toa uzoefu wako na wewe kwa wanawake weupe...

0773103841
 
hivi nyie watoto wa the so called kizazi kipya hivi "kumega kisela" mnadhani sifa eehh.
 
Si wote,kwani wapo ambao ni weupe na wanishi kawaida tu,ila tabia haina rangi wala kabira!!,
 
Mimi mwenyewe mgeni hapo kama tafit zenyewe ndo hizi!.....
 
Dawa ya mwanamke yeyote n fweza,nyodo zote kwishey ila km unamtongoza kwa maneno matupu,hata km n mwanamke mbaya atakuletea nyodo,mbele ya faranga hakuna nyodo mkuu.
 
Kuna mdada nilikua napiga nae stori aka niambia kua wanawake wengi weupe wana nyodo,pozi kwa sanaa na ukioa white skined gel jiandae kutongozewa kama sio kumegewa kwa vile wanaume wengi wanapenda madem weupe weupe(sio wa carolite).

...dizain kama kuna ukweli flani hivi kwa sababu nilikuaga na kadem flani hivi nesi mweupee alikua na nyodo.za hatari japo kua nyodo zake haziku ni affect coz nilikua namega tu kisela kuondoa ugumu....

Toa uzoefu wako na wewe kwa wanawake weupe...

Mwanamke kutongozwa ni kawaida, infact its part of life.... Awe mzuri, mbaya, its just the same. Kumbuka one man's meat is another man's poison.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom