Nafasi ya kuzaliwa umuhimu wake na madhara yake, kitabia na mahusiano

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
195
Wana jf naomba nitoe umuhimu wa nafasi ya kuzaliwa ktk tabia na mahusiano katika jamii.kwa leo nitaeleza kwa upande wa mzaliwa wa kwanza. Tabia zake: Anajiamini sana, anatoa amri/command,anataka kusikilizwa,wengi hupendelea masomo ya sayansi, ni wabishi, wana sifa ya kuongoza,wakioana wazaliwa wa kwanza ndoa zao hazidumu au huwa na migogoro ya muda mrefu. Wanafaa wafanye kazi za viwanda, kuopareti mashine. Kwa kazi za jamii labda kuwa mameneja, sio za kijamii!
 

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
195
mmmh mbona me first born na sina tabia ulizotaja

inawezekana, kwani tafiti huangalia matokeo ya wengi,na kutolea majibu,lakini pia huwa kuna hali ya kutokubali ukweli jaribu kumuuliza mtu wako wa karibu kuhusu tabia zako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom