Je, unapendelea muwe couple ya aina gani kwa kigezo cha height?

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
habari zenu wana mmu...

kuna jambo moja huwa najiuliza sana, jibu ninalopata huwa limelalia upande mmoja tu, wanaume hupendelea kupata wanawake wanaowazidi urefu.. na wanawake hufurahia hilo kwa kuwa na wanaume warefu!

je, wanaume wanajisikiaje wanapokuwa na wenzi wao ambao wanawazidi urefu? imagine uko matembezini na baby girl wako halafu anakuangalia ka sarafu iliyo mchangani, how do you feel?

mimi huwa napenda nije kuwa na mwenzi wa maisha ambaye angalau ananifikia begani!! hiyo nzuri, 170cm tall, not bad.

kwa mfano, kwa hizi couple..!ama sample hii?(please wekeni factor ya pesa mbali kabisa!!)
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
^^
Sikufunzwa kutoa dosari kiumbe ambae sikumuumba ila yule niliyemchora kwa penseli tu.. Mapendeleo yoyote yale yampendezayo muumbaji yananistahili
^^

Thanks mkuu! but we are told to take time to think.. it is our greatest power!
 
Himidini

JF-Expert Member
May 8, 2013
5,540
1,225
Thanks mkuu! but we are told to take time to think.. it is our greatest power!

^^
Thinking is not only power but also a gift that we are priviledged!
Thinking that adds or removes something to creation is against my constitution.
^^
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
^^
Thinking is not only power but also a gift that we are priviledged!
Thinking that adds or removes something to creation is against my constitution.
^^
oh! please amend your constitution!

kuna wakati utauumiza moyo wako sababu ya vitu ambavyo moyo kwa ndani una big NO! halafu wewe unalazimisha!
 
vanilla

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
448
500
mie wangu kanizidi kidogo and i like it......ila wanasema wanaume warefu wana...:A S-baby:.......
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
Me mwenyewe mrefu kuwa na mfupi itakuwajee...simkosoi Mungu,but a tall guy ndo naempenda
 
tinna cute

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
4,635
0
Mkulima hachagui jembe as long ni zima,,,, hayo ya urefu na ufupi mnayajua wa mujini.
 
PLL

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
882
195
^^
Sikufunzwa kutoa dosari kiumbe ambae sikumuumba ila yule niliyemchora kwa penseli tu.. Mapendeleo yoyote yale yampendezayo muumbaji yananistahili
^^
Himidini cna button ya like katika simu,lakn nimependa sana busara hizi,maana ni wachache wanazo,na weng wetu tunapenda kukmsoa watu kutokana na maumbile yao wakat hatuwez kuumba kitu chochote nasi tupate sifa na kutukuzwa
 
Himidini

JF-Expert Member
May 8, 2013
5,540
1,225
Himidini cna button ya like katika simu,lakn nimependa sana busara hizi,maana ni wachache wanazo,na weng wetu tunapenda kukmsoa watu kutokana na maumbile yao wakat hatuwez kuumba kitu chochote nasi tupate sifa na kutukuzwa

^^
PLL usijali mambo ya like, la msingi tusaidiane kukumbushana yale ya msingi kuliko mepesi mepesi tu ambayo baadae ktk ndoa hugeuka majuto
^^
 
Last edited by a moderator:

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Urefu haujawahi kuwa kigezo kwangu,nimzidi,anizidi au tulingane hainishughulishi mradi tupendane.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom