Nimenogewa kwa mke wa mtu, mtoto wa Moshi

Nimenogewa kwa mke wa mtu, mtoto wa Moshi

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
174
Jamani nimeshindwa kuvumilia mapenzi nayopewa na huyu mtoto wa kichaga, ingawa ni kweli mke wa mtu mume wa huyu dada ni mtu wa kusafiri sana mikoa mbali mbali kwa biashara zake.

Tatizo limekuja pale napomwambia tuachane kwa vile ni mke wa mtu hataki hata kusikia, first time nimemtokea akanambia yupo single girl ila baaada ya siku nikawa nimegundua ni mke wa mtu.

Jamani na mimi nimedata mbaya kwa kweli cause hata min kabaaang ananipa tuu hana choyo mtoto wa watu, je nifanyaje nimwache?
 
  • Kusuka au kunyoa ni uamuzi wako Kifai .
  • Jaribu kukaa na kutafakari future ya maisha yako na familia yako baada ya miaka mitano, kumi, kumi na tano n.k
  • Hakika jibu unalo la nini wapaswa kufanya kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuna tetesi kuwa jamaa ana madem kibao kwenye mikoa anayosafiri.Pia inasemekana kuwa yale mambo ndo hivyo tena yameshawaingia....Wewe unafurahia kula no cavity???? subiri siku zinakuja!!
 
jamani nimeshindwa kuvumilia mapenzi nayopewa na huyu mtoto wa kichaga, ingawa ni kweli mke wa mtu mume wa huyu dada ni mtu wa kusafiri sana mikoa mbali mbali kwa biashara zake, tatizo limekuja pale napomwambia tuachane kwa vile ni mke wa mtu hataki hata kusikia, first time nimemtokea akanambia yupo single girl ila baaada ya cku nikawa nimegundua ni mke wa mtu, jamani na mimi nimedata mbaya kwa kweli cause hata min kabaaang ananipa tuu hana choyo mtoto wa watu, je nifanyaje nimwache?,?????

so sad,mkuu kifai RIP....samahani mkuu,nimetanguliza kabisa rip yangu coz siku zako si nyingi na sidhani kama nitakuwa na bundle ya kuja mtandaoni siku hiyo,so rip in advance
 
Wazima wana j foram uko mwanza maduka yote yamefungwa kisa machine za tra jamani wakina fulani tunafanyaje!
 
endelea kumega tu wasikuogopeshe aise kama vipi weka pamba masikio ili usisikie kabisa kelele zao
 
ashum we ndo jamaa alaf mkeo ndo anakusaliti cku ukigundua utamfanyaje???!!kaZ kwako
 
Ngoja mumewe akijua atakwambia cha kufanya.
 
Jamani nimeshindwa kuvumilia mapenzi nayopewa na huyu mtoto wa kichaga, ingawa ni kweli mke wa mtu mume wa huyu dada ni mtu wa kusafiri sana mikoa mbali mbali kwa biashara zake.

Tatizo limekuja pale napomwambia tuachane kwa vile ni mke wa mtu hataki hata kusikia, first time nimemtokea akanambia yupo single girl ila baaada ya siku nikawa nimegundua ni mke wa mtu.

Jamani na mimi nimedata mbaya kwa kweli cause hata min kabaaang ananipa tuu hana choyo mtoto wa watu, je nifanyaje nimwache?

You are just enjoying us..
You are lying to us.
Let's say its true, don't you really know what to do, or your stupidity is on 3G?
 
Japo ya kutunga si mbaya! Ila mambo ya mini kabaang pls tuheshimiane maana si wote tunaopenda kusoma u**mbavu wako.
 
::
Mmm! Haya mambo haya, alinikataza Lisa
=
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom