Heri ya mwaka mpya wana MMU wote lakini...

Heri ya mwaka mpya wana MMU wote lakini...

Wisest man

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
993
Reaction score
333
Napenda kutoa salamu za kheri ya mwaka mpya kwa wale wote tuliokuwa nao ktk kubadilisha mawazo na uzoefu wa masaula ya mapenzi.
Lakini mambo haya yamenikwaza sana, hasa suala zima la ubaguzi na ulimbukeni.
Nikianza na ubaguzi, ni kwamba,kuna baadhi ya wanajf huamua kuweka uzi harafu wanaweka tags, kwamba inawahusu fulani na fulani, hii ina maana kwamba ikiwa id yako haipo kwenye tags basi ujue kuwa uzi huo haukuhusu, hii sio nzuri hata kidogo ma ni dalili ya kuwadharau wengine.
2.Uchanganyaji wa lugha- kuna watu hutumia kiswahili nj kiingereza kwenye mada zao, hii inawafanya wale wasio na uwezo wa kuelewa hyo lugha kushindwa kuelewa nini kinajadiliwa, hii ni kero.
Unakuta mtu anaanzisha uzi harafu watu wanachangia kwa kiingereza! kama mtu anataka kuonesha kuwa yeye hajasoma santa kayumba, afungue uzi wa kiingereza na wachangiaji watumie hyo lugha, maana kama mimi naweza kutumia lugha nne tofauti za kimataifa na kiingereza ni mojawapo, ila natumia kiswahili kwa sabab wengi tunakifaham.
Acheni hyo tabia.
 
Heri ya mwaka mpya pia..

Ni muda mzuri wa kufunguka pia ili tuanze mwaka vizuri

Karibu bia za bure anyway....
 
Pole kwa makwazo mkuu

Happy new year
 
happy new year to you. hilo la kuchanganya lugha liache bana sie wengine tunapatiamo vocabulary mpya. ili tuweze hata cha kuombea maji.
 
Kwako pia mkuu mwaka mpya huu uwe mzuri kwa wale wenye relationship na uvumilivu uwe ngao yetu
 
Na kwako pia mkuu barikwa sana pia pole kwa makwazo kwani yenyewe hayana budi kuwepo.
 
happy new year to you. hilo la kuchanganya lugha liache bana sie wengine tunapatiamo vocabulary mpya. ili tuweze hata cha kuombea maji.
Siku ukitumia tena hiyo lugha ntaku....G
 
kheri ya mwaka mpya na kwako pia.mungu awe pamoja nawe.
 
Asante. Ushauri na maoni yako bila shaka vitazingatiwa. Heri ya mwaka mpya.
 
Heri ya mwaka mpya nawe pia sante kwa ushauri
 
Pamoja na wewe bila ya kusahau wazazi wetu,ndugu jamaa na marafiki
 
Back
Top Bottom