Happy new year wana MMU

Happy new year wana MMU

hongera mkuu, sisi wengine tulio mbali na bongo hatujauona bado hivyo tunakila sababu ya kukupa hongera ww mwenzetu
 
Mulungu ntale o si ni gulu.
hongereni nyote kuuona mwaka.
 
mhhhh umefanya haraka sana huu mwaka bora ungesubilia kidogoooo mimi ni ..................
 
Happy new year wadau Wenzangu wote,Nijambo la kumshukuru Mungu kwa kweli
 
Mi bahati mbaya sijauona mwaka Bandugu, nlikuwa nimelala nimeamuka mwaka ushapita nioneeni huruma.
 
[QU OTE=Ablessed;8248447]Heeee hukusikia madebe yakipigwa polee sana. Mwaka mpya teyari rafiki.[/QUOTE]

Huku Mongolia bure kabisa.........nahama......
 
[QU OTE=Ablessed;8248447]Heeee hukusikia madebe yakipigwa polee sana. Mwaka mpya teyari rafiki.

Huku Mongolia bure kabisa.........nahama......[/QUOTE]Bora uhame aisee kwani huko hawapigi madebe kama vipi hama mkuu
 
Back
Top Bottom