Hivi kwanini inakuwa hivi?

TihZ

Senior Member
Jul 31, 2012
158
0
Nina mpenzi wangu tuna mwaka sasa katika penzi letu ingawa mwenzangu anaonekana kutonijali kama mimi ninavyomjali yeye ila miezi miwili iliyopita kuna msichana mmoja alitokea kunizoea sana kushinda hata huyu mpenzi wangu,alikuwa akinijulia hali kila inapowezakana kuzidi hata huyu mpenzi wangu Baada ya wiki kadhaa kupita binti huyu aliniambia kuwa angependa tuwe wapenzi kusema kweli hata mimi nilitamani iwe hivyo lakini sikuwa tayari kumuumiza kwani sikuwa na hisia kama zake hivyo basi niliamua kumkalia kimya maana sikupenda kumuumiza kwani alikuwa ananijali sana.Ila leo alinitafuta hewani hivyo sikuwa na jinsi ilibidi tu nimwambie hali halisi ingawa aliumia sana.Ninachojiuliza hapa hivi ni kwa nini mara kadhaa unampenda mtu lakini haonyeshi kukujali je ni kwamba inawezekana kuna mtu wa pembeni au ni hulka ya mtu tu kuwa hivyo?
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
65,128
2,000
Yani umeniudhi sana. Dada wa watu ana kiu we unamtolea nje. Mmepewa vífanyio mnashindwa kuvitumia wakati haviishi. Hiki K na utamu wote ile kuna mwanaume anaisusa?

Mtu asiyeitendea haki K hawezi kuwa rafiki yangu.

Ngoja niende zangu jukwaa la wakubwa nikapunguze Munkari na hasira.
 
Last edited by a moderator:

jimmykunchi

Member
Sep 19, 2013
33
0
Labda ndivyo alivyo...maana mi mwenyewe nikimpenda mtu sipendi kumuonesha...mwanzo wa kuleteana drama huo.
 
zorrender

Member
Sep 19, 2013
64
70
Yani umeniudhi sana. Dada wa watu ana kiu we unamtolea nje. Mmepewa vífanyio mnashindwa kuvitumia wakati haviishi. Hiki K na utamu wote ile kuna mwanaume anaisusa?

Mtu asiyeitendea haki K hawezi kuwa rafiki yangu.

Ngoja niende zangu jukwaa la wakubwa nikapunguze Munkari na hasira.

Kuna watu wanaudhi sana. Mtoto wa watu kajitahidi kuonyesha hisia akajifanya haelewi, akaamua basi isiwe tabu akasema kabisa mtu anakwambia nkaona ntamuumiza nkamkatalia!!!! Hivi kweli unathubutu kutuelezea wanaume wenzio kabisa kwamba umemkatalia binti!!!!!! Hiki kizazi cha tamthilia hiki!!!!!????
 
Last edited by a moderator:

TihZ

Senior Member
Jul 31, 2012
158
0
Yani umeniudhi sana. Dada wa watu ana kiu we unamtolea nje. Mmepewa vífanyio mnashindwa kuvitumia wakati haviishi. Hiki K na utamu wote ile kuna mwanaume anaisusa?

Mtu asiyeitendea haki K hawezi kuwa rafiki yangu.

Ngoja niende zangu jukwaa la wakubwa nikapunguze Munkari na hasira.

Hivi ndio angekuwa dada yako ungeridhika nimfanyie hivyo?
 
Last edited by a moderator:

TihZ

Senior Member
Jul 31, 2012
158
0
Kuna watu wanaudhi sana. Mtoto wa watu kajitahidi kuonyesha hisia akajifanya haelewi, akaamua basi isiwe tabu akasema kabisa mtu anakwambia nkaona ntamuumiza nkamkatalia!!!! Hivi kweli unathubutu kutuelezea wanaume wenzio kabisa kwamba umemkatalia binti!!!!!! Hiki kizazi cha tamthilia hiki!!!!!????

Hivi angekuwa dada yako ungeridhika kumfanyia hivyo au nawe ungeona namchezea?
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
65,128
2,000
Kuna watu wanaudhi sana. Mtoto wa watu kajitahidi kuonyesha hisia akajifanya haelewi, akaamua basi isiwe tabu akasema kabisa mtu anakwambia nkaona ntamuumiza nkamkatalia!!!! Hivi kweli unathubutu kutuelezea wanaume wenzio kabisa kwamba umemkatalia binti!!!!!! Hiki kizazi cha tamthilia hiki!!!!!????

Hiki kizazi cha dotcom hasara tupu. Kinaniudhi sana.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
58,543
2,000
...inawezekana kuna mtu wa pembeni au ni hulka ya mtu tu kuwa hivyo?

Majibu ya maswali yako yapo hapo...

Mengine ni kwamba kuna watu hawapo tayari kwa mahusiano wakati ule watongozwao...

Mtongozaji kutokidhi vigezo vya mtongozwaji...

Wengine huwa wanapima upepo tu, ukiongeza nguvu kidogo tu unang'oa nanga kiulaini...

Na mengine mengi....
 
amyna m

Member
Jun 5, 2012
57
70
Naomba na mimi unipeleke jukwaa la wakubwa
Yani umeniudhi sana. Dada wa watu ana kiu we unamtolea nje. Mmepewa vífanyio mnashindwa kuvitumia wakati haviishi. Hiki K na utamu wote ile kuna mwanaume anaisusa?

Mtu asiyeitendea haki K hawezi kuwa rafiki yangu.

Ngoja niende zangu jukwaa la wakubwa nikapunguze Munkari na hasira.Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,087
2,000
Yani umeniudhi sana. Dada wa watu ana kiu we unamtolea nje. Mmepewa vífanyio mnashindwa kuvitumia wakati haviishi. Hiki K na utamu wote ile kuna mwanaume anaisusa?

Mtu asiyeitendea haki K hawezi kuwa rafiki yangu.

Ngoja niende zangu jukwaa la wakubwa nikapunguze Munkari na hasira.

abeee! Umeniita?
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom