Mazoezi ya kukata kiuno

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,739
Wana Jf heri ya mwaka mpya, me mzima wa afya tele hofu kwenu, na imani kubwa sana kuwa mmeupokea mwaka 2014 kwa furaha kubwa, bila kupoteza muda tuuanze mwaka na kufanya mazoezi ya kukata kiuno kwa wale ambao hawajui, kwanza kabisa anza na kulizoesha tumbo lako kabla hujahamia kiunoni au kwenye nyonga. Sote tunatambua kuwa tumbo ni moja ya sehemu inayovutia kama ilivyo makalio, miguu n.k. hasa kama tumbo hilo ni dogo.

Simama wima ukiwa uchi mbele ya kioo, weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (litunishe) baki hivyo kwa muda kisha lirudishe kwa ndani na ubaki tena hivyo kwa muda. Rudia kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo na kumbuka kubana pumzi huku mdomo ukiwa wazi (itasaidia kukaza misuli ya tumbo pia), kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, kugandisha n.k) mpaka utakapohisi tumbo lako linatetema/tikisika.

Msingi wa kukata kiuno
Kama nilivyosema awali, simama wima na jishike kiunoni (kuhu na huku) kisha peleka sehemu ya kiuno ya kulia upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele uwezavyo (nina maana ile pelvis tu sio tumbo na kila kitu) alafu baada ya hapo peleke sehemu yako ya kiuno ya kushoto upande wa kushoto, kisha peleka sehemu yako ya mbele nyuma hali itakayofanya ------ yako yabinuke na kujitokeza kwa nyuma. Nyoosha magoti kisha rudi kulia (ulipoanzia)

Fuata hatua hizo kwa mara nyingine tena ambazo ni simama wima kisha peleka kiuno kulia, mbele, kushoto, nyuma, kulia mara 20 na kuendelea inategemea zaidi na bidii yako.



Baada ya kuzoea hatua hizo hapo ndio unapotakiwa kutengeneza mirindimo yako kivyako. Mfano lala chali, kifudifudi (lalia tumbo), ubavu, chutama, piga magoti n.k kisha peleka kiuno kulia, mbele, kushoto, nyuma, kulia mpaka kiuno kizoee.


Hili zoezi zuri la kukata kino ni kulala kifudifudi (kulalia tumbo) kisha kukizunguusha (hapa usipokuwa mwangalifu unaweza ku-cum via kisimi kwa vile unatua unakisugua).
Kama una cha kuongeza karibu sana,
 
Kwanini usianzishe chama cha wakata viuno tanzania?CCWVT nafasi ya uwenyekiti itakufaa.
 
Hizi ni thread za usiku wa manane, unatuharibia siku sasa.
 
naweza nikasema KUKATA KIUNO KITANDANI ni tofauti na kukata stejini.KUKATA KIUNO KITANDANI NI ILE FILLING INAVYOKUJA NA KUJIKUTA UNAZUNGUSHA KULINGANA NA MWENZIO ANAVYOINGIZA NA KUTOA MASHINE.LAKIN STEJINI UNAKATA KULINGANA NA MDUNDO
 
Mie kiuno changu kigumu sana,,, acha nifanye hili zoezi nikipata mpenzi ni practice!!
 
Unadhani hata huko kitandani huwa mnakumbuka basi kukata hivyo viuno...!!!

Asumani jicho moja akishaingia kimiani tu, huwa mnatulia kimyaaaa kinachofuata hapo ni kelele nyevu....

naweza nikasema KUKATA KIUNO KITANDANI ni tofauti na kukata stejini.KUKATA KIUNO KITANDANI NI ILE FILLING INAVYOKUJA NA KUJIKUTA UNAZUNGUSHA KULINGANA NA MWENZIO ANAVYOINGIZA NA KUTOA MASHINE.LAKIN STEJINI UNAKATA KULINGANA NA MDUNDO
 
Unadhani hata huko kitandani huwa mnakumbuka basi kukata hivyo viuno...!!!

Asumani jicho moja akishaingia kimiani tu, huwa mnatulia kimyaaaa kinachofuata hapo ni kelele nyevu....

hapana if u real fil wat u duin.inakuja yenyewe tu automatic unakuwa unakata yaan bila ku2mia nguv nyng
 
sijui kama hii experience ni kwa wote..ukijiona kiuno kigumu...kitandan utafocus kukata kiuno rather than kupata raha...kiuno kije automatic from no wea apo ndo raha yenyew
 
Kweli mwaka mpya.... eti Bujibuji anahamia kwenye siasa atayapa wapi haya!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom