ushauri kuhusu Hotel nzuri Singida town na Sehem za kutembelea

ushauri kuhusu Hotel nzuri Singida town na Sehem za kutembelea

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,339
Heshima zenu wadau..

Ninaelekea singida katika mishe za kusaka ngawira,, na nitakuwa huko for 1 week,, ningependa kujua hotel nzuri ya kufikia na sehemu ambazo nitaburudika nikiwa huko
 
Singida yote ni nzuri kwa muono wangu. Hoteli niliofikia na mume wangu inaitwa Aqua napo nilipapenda. Safari njema.
 
ukipata nistue nije kukusalimia ....nitakuja na bumunda langu kukupunguzia matumizi au sio....
 
Aqua sawa na kuna hoteli iko kule singidani lakini nakushauri ulinzi wa mali zako ni juu yako.ningejua kama ni she ua he kwani kuna ushauri wa ziada.
 
Back
Top Bottom