Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Girl friend wangu alikuwa akisoma katika chuo kikuu kimoja hapa nchini, Alikuwa na tabia ya kuja kunitembelea mara nyingi siku za wkend kuanzia ijumaa jion mpaka jpili anarejea chuo.Ndan ya siku...
6 Reactions
69 Replies
9K Views
Kuna jamaa yangu amepata janga, Amepigiwa simu na baba mwene nyumba wake akamtaarifu kwamba amepata taarifa zenye ushahidi kwamba yeye huyo mshkaji wangu anatembea na mke wake, na akirudi lazima...
1 Reactions
112 Replies
15K Views
Heshima kwenu wenu Nilikuwa napita ofisi moja nikakuta mada inaendelea ikabidi nivute kitu nipate mawili matatu ,ingawa nimeondoka na swali kichwani. Eti long distance mwanaume unapoondoka na...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Ni kama chanda na pete. Inajulikana kama muongo huongopewa. Wengi wetu husema na kuambiwa kuwa ni wapenzi wa pili tangu tuanze kugegedana. Ukibisha uliza. Uzuri wa uongo wa mapenzini husemwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana jf?am ouky but not happy kwa sababu napenda kupendwa na ninajua kupenda lakini nakuwa very dissappointed kila nikitongozwa nampata mme wa mtu au ndo yupo kwenye maandalizi yakuoa na...
3 Reactions
106 Replies
15K Views
Mwambie mpenzi wako 'I love u baby'' atakujibu ''I love u too baby'', mwambie '' I miss u baby'' atajibu 'I mic u too baby' sasa mwambie NITAKUTUMIA 100,000 KWENYE MPESSA, AKIJIBU NAMI NITAKUTUMIA...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
topic yangu siioni jf jaman.nimepost nishauriwe naitafuta siion.hii tabia jf imeanza lini jaman!....imeniuma jaman nani kaifuta au administratn hao?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi ni sahihi kwa mume wa ndoa kumsupport mke wa ndoa kutoa mimba...kwa sababu tu hayupo tayari kupokea mtoto wa pili na wa kwanza ni mdogo wa 1 year.....je mune huyu ana mapenzi ya dhati kwa mkewe?
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwanza nawapongezeni sana kwa kuweza kuwa pamoja hadi leo,Mungu awasimamieni hadi mfikie ndoa Kwa wale ambao mko ndoani nawapongezeni sana kwa kuwa ndoani hadi leo pamoja na majaribu na changamoto...
2 Reactions
74 Replies
6K Views
Yer 32:26-27 Imeandikwa "Tazama mimi ni Bwana Mungu wa wote wenye mwili. Je kuna neno gani gumu nisiloliweza? Neno hili liondoe kila kilicho kigumu ktk maisha yako, Mungu akutendee miujiza...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Kiukweli jana nimeamini kuwa kuna mtu unaweza kuonana nae kwa mara ya kwanza na hujawahi kuongea naye ila ukamchukia mpaka basi. Hii kauli inayotumiwa mitaani "damu hazipatani", ni kitu cha kweli...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Its the beggining of new challenging year but i know by the power of God al wil be well.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa jinsi mnavyojikwatua na kujichubua hadi mnatisha. Mnakuwa kama wadudu au vibwengo. Acheni hizo...tunzeni uhalisia hata kidogo
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Marafiki zangu kuanzia leo nafunga zipu yangu maana nimeifungua vya kutosha na yule demu wangu kicheche nimemwacha rasmi baada ya kupima UKIMWI nakujikuta sina maambukizi,,ni uamuzi mgumu sana wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajamvi habari zenu, naombeni ushauri tangu ni balehe sija wahi kumpend mpenzi (msichana) kama nionavyowengine walivyo maana utawakuta mtu na mpenzie wanalishan ice cream, amekaa kwenye mapaja...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wajameni habarini za mchana? Najua muko poa na kama kawa wale waliohadiana kutoana lunch wamefanya hivyo na wale wa kuchomeshwa mahindi nao wameyachoma sanaaaa hadi yameungua Msijali hata na...
1 Reactions
273 Replies
19K Views
Za kufunga madirisha yote kwenye mabasi, kiasi cha watu kukosa hewa kabisa,eti kisa wanaogopa upepo utavuruga nywele zao walitoka nazo salon ili kwenda nazo safarini vijijini kwao kuwakoga...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu salaam, Ninaomba kama kuna mtu anamfahamu Anna Dominick. Aisoma Ruvu Sekondari O level na alimaliza 1989 na baadaye kwenda A level Kilakala. Tulipotezana tangu alipomaliza A level na kwa...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
​ I So Much Hate The Way My Girlfriend Dresses. I've complained over and over again but it seems I'm not getting through to her. She doesn't think a woman can be sexy without showing body...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu walalaaam, Wengi wetu tumewahi kuona wazazi,ndugu, marafiki, majirani hata wewe mwenyewe kuwa ndoa uliyokuwa umeiamini sana au ya uelewano wa kawaida tu imevunjika. Baada ya wanandoa...
2 Reactions
69 Replies
7K Views
Back
Top Bottom