love peace
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 130
- 37
topic yangu siioni jf jaman.nimepost nishauriwe naitafuta siion.hii tabia jf imeanza lini jaman!....imeniuma jaman nani kaifuta au administratn hao?
Soma sheria za JF!
Mbona unaongea ka unamafua ! Waulize akina mods!
post yang haikuwa na maneno mabaya jaman,ya kawaida tu.
Haikuwa na maneno mabaya kwa kipimo chako au cha sheria za JF?
Ndio maana ninakushauri usome sheria za hapa kwanza kabla ya kuendelea sana
Inawezekana mfano kwako upumb.avu ni neno la kawaida sana lakini kwa mujibu wa sheria za hapa ni tusi,huoni utakuwa umekwenda kinyume na sheria za hapa wakati wewe unaona ni neno "la kawaida kabisa"?

paroko leo umekuwa mkali